Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Wali? πŸ˜‚ ungepress batan gani?

Me naona hapa
Grill
Comb 1-3
Na manual sijui niliiweka mtaa gani
Kawaida kama unapasha ila dakika za kutosha! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sema ilikuwa kitambo. Ngoja ntajaribu tena nikuonyeshe unavyotokea.πŸ™‚

Embu tuone hiyo model yako....
 
Kawaida kama unapasha ila dakika za kutosha! πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sema ilikuwa kitambo. Ngoja ntajaribu tena nikuonyeshe unavyotokea.πŸ™‚

Embu tuone hiyo model yako....
Hatari sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Mie nataka nijaribu kuchoma..

Hii kwenye high ndio kupasha.
M. High- defrost
920C907E-1613-449C-BB91-1071D3633DBF.jpeg
 
Hatari sana πŸ˜‚πŸ˜‚

Mie nataka nijaribu kuchoma..

Hii kwenye high ndio kupasha.
M. High- defrost
View attachment 2606388
Nimekumbuka aunt yangu huwa anatumia sana kwa viazi na samaki.

Ilikuja na baking rack???
Screenshot_20230501_175944_Chrome.jpg

Maana ukitumia tray haitokua na ukavu....itakuwa kama ume-steam. Kama unayo weka samaki wako alafu weka power on High for about 15min uone. Kwa nyama itabidi uweke muda mrefu zaidi.. maybe 30 - 45min.. πŸ€”
 
Nimekumbuka aunt yangu huwa anatumia sana kwa viazi na samaki.

Ilikuja na baking rack???
View attachment 2606392

Maana ukitumia tray haitokua na ukavu....itakuwa kama ume-steam. Kama unayo weka samaki wako alafu weka power on High for about 15min uone. Kwa nyama itabidi uweke muda mrefu zaidi.. maybe 30 - 45min.. πŸ€”
Yes rack ipo.

So chombo nitachochomea ndio kitakaa juu ya hiyo rack?

Siku nijaribu kwa kuanza na samaki.
 
Yes rack ipo.

So chombo nitachochomea ndio kitakaa juu ya hiyo rack?

Siku nijaribu kwa kuanza na samaki.
Superb!!!

Unaweza kuweka unachochoma (samaki/nyamba) juu ya rack moja kwa moja au kwenye baking dish kisha ndio uweke juu ya rack.

Hapo πŸ‘†πŸΎ kwa samaki unaweza ukaivisha kwa dakika 3 - 7. So, I guess unaweza ukaweka dakika chache kwanza uone progress, ikiwa bado unaongeza mpaka awe tayari
 
Back
Top Bottom