Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteeeeUsipike wala kuchoma na moto mwingi tu zinatoka soft na bomba kabisa.
Na sana better uchemshe tu ile soft cookin moto mdogo
Hafu unalala au kuna mkate kwenye kabati?
Sijawahi kula ulojo, una ladha gani?
EnhheeeeLocation Dar??
Napenda kinoma iyo.. ni wapi nipime umbali na nilipoEnhheeee
Kuna pepsi kwenye friji 🤣Hafu unalala au kuna mkate kwenye kabati?
Aisee.. watu hampo serious na sekta ya kula kabisa.Kuna pepsi kwenye friji 🤣
Huo msosi mwingi eti kwa usiku
Wabonge hatuli sana 🤣🤣Aisee.. watu hampo serious na sekta ya kula kabisa.
Hilo rojo ya viazi vilivyopondwa, wanachanganya mayai , Bagia, creaps za mihogo, mishkaki, kachori na salad , nadhani ushapata test inakuwaje 😅😋Sijawahi kula ulojo, una ladha gani?
Temeke hiyo...Napenda kinoma iyo.. ni wapi nipime umbali na nilipo
Sio mbali aisee. Dah siku nitaomba location unielezeeTemeke hiyo...
Hahahaa kula wewe tutakata utumbo kama Wema.Wabonge hatuli sana 🤣🤣
Nikishakata nikomae kama Wema sio🤣🤣 sitakiiiHahahaa kula wewe tutakata utumbo kama Wema.