Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humalizi huo ugali nibakishie..Kiporo cha ugali....
View attachment 3000754
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Humalizi huo ugali nibakishie..
Imenibidi nicheke tu 😄👏
Hivi we mnyamwezi kweli?
Kumbe pilau yaliwa kwa umma? Umenitowa ushamba.
I love this italian, badly family wanadisapoint sana wanapenda maspagheti ya sukari na mimi tofauti kabisa.
Dr niache!!!🙈😁Kumbe pilau yaliwa kwa umma? Umenitowa ushamba.
Kasie😘😋Tumalizie .......
View attachment 2992966
Bamia likikaangwa na vitunguu maji tangawizi imesagwa na manjano mbichi imesagwa...😋😋 for the taste of food...
View attachment 2992967
Hoho na rangi zake nazo zikaingia kikaangoni....😋😋😋😋
View attachment 2992968
Kama kawaida ganish ya grated carrots... 😋😋😋😋 Acha kabisa.View attachment 2992969
Karibuni, vyote vimeandaliwa 😋😋😋😋.
Nachukuwa madesa hapa kula kwa mkono wa kushoto kulishanishindaga nimekubali ushamba huo miaka mingi tu.Dr niache!!!🙈😁
I love this italian, badly family wanadisapoint sana wanapenda maspagheti ya sukari na mimi tofauti kabisa.
Hii nikikuandalia utafurahi hizo spaghetti hazikatwi zinachemshwa nzima nzima zinalegea kwenye maji moto.
Yeah pure Italian cuisine, I cook it same way... tambi zinakuwa nzima nzima sizikati na saa ya kupakua natumia kamwiko flani hivi kamazichota bila kuzikata.
Kwenye kula sasa ndo hiwa nazikata ama laah niwe hotelini ndo nile kwa kuzizungisha kwenye uma bila kuzikata.
Nikiwa nyumbani nakula kwa starehe 🤣🤣🤣🤣 no sturesi za hotelini...
Hapo familia wanapoweka sukari kwenye hizo spaghetti watakuwa wanapenda kuzila kama futari...
Siku uende sokoni uwanunulie zile tambi za kutengeneza kienyeji zinakuwa nyembamba nyembamba zinauzwa kwa kupimwa kwa kilo au mafungu mafungu.
Hizi sasa wakizipika kama futari na kutia sukari na nazi na hiliki, bwaanaa weeh...!!!😋😋😋😋 hii dunia tamu bwana acha tuu wanawake tunafaidi zaidi sababu tuna midomo miwili 🤪🤪🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️.
We kwa maneno unatisha...Yeah pure Italian cuisine, I cook it same way... tambi zinakuwa nzima nzima sizikati na saa ya kupakua natumia kamwiko flani hivi kamazichota bila kuzikata.
Kwenye kula sasa ndo hiwa nazikata ama laah niwe hotelini ndo nile kwa kuzizungisha kwenye uma bila kuzikata.
Nikiwa nyumbani nakula kwa starehe 🤣🤣🤣🤣 no sturesi za hotelini...
Hapo familia wanapoweka sukari kwenye hizo spaghetti watakuwa wanapenda kuzila kama futari...
Siku uende sokoni uwanunulie zile tambi za kutengeneza kienyeji zinakuwa nyembamba nyembamba zinauzwa kwa kupimwa kwa kilo au mafungu mafungu.
Hizi sasa wakizipika kama futari na kutia sukari na nazi na hiliki, bwaanaa weeh...!!!😋😋😋😋 hii dunia tamu bwana acha tuu wanawake tunafaidi zaidi sababu tuna midomo miwili 🤪🤪🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️.
We kwa maneno unatisha...
Sema uandishi wako na mpangilio wa maneno hauchoshi kusoma.. Big Up Mkuu...
Mdomo wa pili uko wapi huo? Nasikiaga tu mna masikio matatu!!😄😄🚶🚶Yeah pure Italian cuisine, I cook it same way... tambi zinakuwa nzima nzima sizikati na saa ya kupakua natumia kamwiko flani hivi kamazichota bila kuzikata.
Kwenye kula sasa ndo hiwa nazikata ama laah niwe hotelini ndo nile kwa kuzizungisha kwenye uma bila kuzikata.
Nikiwa nyumbani nakula kwa starehe 🤣🤣🤣🤣 no sturesi za hotelini...
Hapo familia wanapoweka sukari kwenye hizo spaghetti watakuwa wanapenda kuzila kama futari...
Siku uende sokoni uwanunulie zile tambi za kutengeneza kienyeji zinakuwa nyembamba nyembamba zinauzwa kwa kupimwa kwa kilo au mafungu mafungu.
Hizi sasa wakizipika kama futari na kutia sukari na nazi na hiliki, bwaanaa weeh...!!!😋😋😋😋 hii dunia tamu bwana acha tuu wanawake tunafaidi zaidi sababu tuna midomo miwili 🤪🤪🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️.
Hahaha..Truth or Dare....🤪🤪
Kila nikikumbuka nacheka napasuka mbavu aahahahahahhahahahaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mdomo wa pili uko wapi huo? Nasikiaga tu mna masikio matatu!!😄😄🚶🚶