Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20240629_232611.jpg
 
Nimesema leo nipike uji wa mchele.
Daah nimekunywa uji nikapata na ubwabwa hapo hapo.nanunua mboga tu
 
Wadau nna njaa chakula kipo ila sili.
Sasa nikikumbuka,
Kula ugali na mboga ni uji wa chumvi😁.
Unamega ugali unatoeza kwenye uji.
Chai bila majani ya chai,
Unaunguza sukari unatia maji chai tayari.
Badae unaweka sukari vilevile
Hizi mbinu za Cuba kule mafunzoni.
Mnalalamika sukari huku kuna miwa kibao tu hapo mnashindwa kutengeneza sukari.
 
Back
Top Bottom