Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20240814_080330.jpg


Chauro....😋😋😋😋
 
Ila hustling acha tu.
Nakumbuka kitambo mi nasoma mtukutu tu Singida huko tumekamua sana hayo mafuta aisee kiwanda kilikua kimoja tu hapo mjini.
Kuna washkaji Yusuph na J4 aisee walitafuna sana watoto hapo mtaani kisa wanafanya kazi kwenye hicho kiwanda.
90s-92 hiyo.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] Cc ephen_
 
Back
Top Bottom