Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni food gani? Bado sijaipataa!
Mbuzi kitunguuHii ni food gani? Bado sijaipataa!
Toa location bi mzuri. 😍
Moshi pazuriToa location be mzuri. 😍
hizi table mats
Zanzibar...ila ni muda kidogo. Nimewahi kuona zinazofanana nazo Makumbusho ila sikumbuki jina la duka.Ukinunus wapi
hizi table mats
Kila siku chips yai utapungua kweli?
😁😂😎😎😎😎 Vitamu sanaKila siku chips yai utapungua kweli?
Umepika au umeagiza? Mbona hazina ushirikiano🤔
😂😁😁😁😁NimepikaUmepika au umeagiza? Mbona hazina ushirikiano🤔