binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenihamasisha nikazinunue tena, kuna mahala wanaziuza nne kwa bei ya mbili.😋😋😋😋
Nikiamua kula hizo naacha kula chakula nashindia hizo na maji.
Yan ukiwaza we only live once tu, unakimbia supermarket kuzifata.
Mie nilifikia stage ya sinywi chai,, ni kachocolate ka snickers nakuwa na ya caramilk… tukutane mchana
Mtengenezaji aendeleee
Asiiuze recipe tu 😀
Sawasawa.Nipo busy sana nakula street food siyo poa
Nataman chakula cha kupika mwenyewe lakin maisha hayanipi nafasi.
Will try nikirudi Dar.😓
Bila shaka wewe ni mzuri sana, rangi nzuri mikono milainiiiYes mdogo wangu.
Asante mdogo wangu, ni mzuri kiasi sio sana 😍Bila shaka wewe ni mzuri sana, rangi nzuri mikono milainiii
unakulaga nini wewe mbona hutuoneshi?Bila shaka wewe ni mzuri sana, rangi nzuri mikono milainiii
Dah! Sina msosi wa ajabu wa kuoneshaunakulaga nini wewe mbona hutuoneshi?
weka nyama pori hapa tuone.
huo ugali matembele weka tuuone.Dah! Sina msosi wa ajabu wa kuonesha
Siwezagi kuoneshaonesha vitu.
Mchana nilikula ugali maharage mchicha na kitimoto.huo ugali matembele weka tuuone.
Lukasi acha fujo.....Bila shaka wewe ni mzuri sana, rangi nzuri mikono milainiii