Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

20250226_175141.jpg


Anadekaaa, kila unapoenda anakufata...!!!😀.

Nimekumbuka yule wa jirani yako....😅 Monkey Pie Nyani Ngabu
 
Kwani huja download DoorDash na UberEats kwenye simu yako? 😀

Naah not yet...🙂 and I don't think so...!

Napenda kula, napenda misosi ila napenda kuifata mwenyewe, I have trust issues on food... mtu akiniletea naona kama kaweka kitu au kapunguza size au....🤔🤔😅😅😅😅
Bange tuu zinaniwazisha eehehehe.

Aahahahaha ilikuwa niweke screenshot ya app zilizoko kwenye simu yangu, nikaacha sababu taswira ya Bi. Kasinde ilikuwa inaonekana kwa nyuma (background) 🤪.
 
Back
Top Bottom