machiaveli
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 2,225
- 5,055
Wale wa machame,kibosho,marangu,rombo,uru na vijiji vyote tukutane hapa!
Na kama kuna mwenzetu kaishiwa nauli tupange jinsi ya kumchangia sababu lazima wote tuende kule tukapongezwe tupewe mabaraka!
Ili tukirudi mwakani tulipe kodi vizuri
Ekaaa wooose[emoji3]
Madam mchaga hawez kosa hela ya kwenda kwaoSafari mtaenda wachache vyuma vimekaza sana
Ewaaaa... Korogwe ni lazima tuweke kituo tusalime wakwe zetu then tuendelee na safari ya mlimaniAsprin na Behaviourist hapa. Nitapika maandazi na kuku wa kukaanga. Korogwe tunasimama party inaanza
Atapewa maelekezoSasa huyo mnayemchangia nauli naye atapongezwa kwa kipi
Atapewa maelekezoSasa huyo mnayemchangia nauli naye atapongezwa kwa kipi
Naona hawa jamaa wametutenga kabisa, itabidi tutangulie tuweke magogo kuanzia Hedaru, Makanya na Same ili wasipite huko kwao.Wapare mmetutenga mbona
acha tu mbeeNimepata Kiu ya Mbege ghafla mwanama!
Safari mtaenda wachache vyuma vimekaza sana