Uzi wa wachaga wote tunaokwenda Kilimanjaro msimu huu!!

Uzi wa wachaga wote tunaokwenda Kilimanjaro msimu huu!!

machiaveli

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2016
Posts
2,225
Reaction score
5,055
Wale wa Machame, Kibosho, Marangu, Rombo, Uru na vijiji vyote tukutane hapa!

Na kama kuna mwenzetu kaishiwa nauli tupange jinsi ya kumchangia sababu lazima wote tuende kule tukapongezwe tupewe mabaraka!

Ili tukirudi mwakani tulipe kodi vizuri

Ekaaa wooose😀
 
Safari mtaenda wachache vyuma vimekaza sana
Wale wa machame,kibosho,marangu,rombo,uru na vijiji vyote tukutane hapa!
Na kama kuna mwenzetu kaishiwa nauli tupange jinsi ya kumchangia sababu lazima wote tuende kule tukapongezwe tupewe mabaraka!
Ili tukirudi mwakani tulipe kodi vizuri
Ekaaa wooose[emoji3]
 
Back
Top Bottom