chinekeeee
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,787
- 2,894
Hahah nakuachaje sasa ni 1.5M ushindwe wewWoyooo tujiandaage kunywa mbege
chinekeeee Usiniache safari hii
Hapo sasaKwani Wapare ni Wachagga??
Maruani, mizimu, mashetani you name it walahi
Ngoja nianze meditation utaniona tu usiku wa leo!
See you soon Hussein Melkiory
Uache kunitishia wewe mimi mtu mzima mwenzakoMaruani, mizimu, mashetani you name it walahi
Ngoja nianze meditation utaniona tu usiku wa leo!
See you soon Hussein Melkiory
Sikutishi bali ndio hali halisiUache kunitishia wewe mimi mtu mzima mwenzako
Nkiki nuuta morang? Enda kanyi banaMongikooya halya morang'
Nkiki nuuta morang? Enda kanyi bana
Hahahaha enjoy your life brother!
Basi wewe njoo mimi nakusubiria kwa haku ukija mbege ipo na kisusioSikutishi bali ndio hali halisi
Unakumbuka Osale Otango na Hamisi wa mapango ya Amboni Tanga?
Zile Roho bado zipo live walahi
Ewe deea tubu mbee ndefoni kuchu!Ndefoni kaa vamekuu dundelya mburu na mbeke...
Meku atapongezwa kwa kuishi.Sasa huyo mnayemchangia nauli naye atapongezwa kwa kipi
Naunga mkono hoja ya kutengeneza umoja wa Tanzania wote wakichagaM naona tuunde grup la whatsap tupange jinsi ya kwenda tulodishe coaster kadir ya idadi ya watu tusafiri kwenda Moshi taratibuu na gambe za kutosha
Mabibi wa kichaga tunacomment wap ss
Fungua pm yako kekuMaruani, mizimu, mashetani you name it walahi
Ngoja nianze meditation utaniona tu usiku wa leo!
See you soon Hussein Melkiory