Uzi wa wachaga wote tunaokwenda Kilimanjaro msimu huu!!

Uzi wa wachaga wote tunaokwenda Kilimanjaro msimu huu!!

Oooraaaaah! Msinisahau wajameni niachieni ata ile seat ya konda[emoji41]
 
Maruani, mizimu, mashetani you name it walahi
Ngoja nianze meditation utaniona tu usiku wa leo!
See you soon Hussein Melkiory
Uache kunitishia wewe mimi mtu mzima mwenzako
 
Sikutishi bali ndio hali halisi
Unakumbuka Osale Otango na Hamisi wa mapango ya Amboni Tanga?
Zile Roho bado zipo live walahi
Basi wewe njoo mimi nakusubiria kwa haku ukija mbege ipo na kisusio
 
M naona tuunde grup la whatsap tupange jinsi ya kwenda tulodishe coaster kadir ya idadi ya watu tusafiri kwenda Moshi taratibuu na gambe za kutosha
Naunga mkono hoja ya kutengeneza umoja wa Tanzania wote wakichaga
 
Back
Top Bottom