Mkuu mbona hujatoa yako kwanza,Mara nyingi ukianzisha Uzi wenye lengo kama huu wako basi unaanzia kwako wengine tunatiririkaKatika maisha ya ujana hasa mahusiano kuna changamoto nyingi Sana tunakutana nazo.. Ilaa suala la MTU ulienae kwenye mahusiano kubeba Ujauzito na mwanaume hujajipanga Huwa linachanganya Sana akili na kuharibu mipangi mingi Sanaa...
Tupeane uzoefu juu ya Changamoto ulizopata pale ulipopata mtoto mapema hasa kipindi upo shule au chuo na namna gani ulizikabili ukizingatia hukuwa vizuri kiuchumi na labda hukutaka nyumbani wajue???? Karibuni
Daah pole Sana mkuu...!! Bhasi kweli alikuja na baraka zakeeMimi nilipata mtoto nikiwa mwaka wa kwanza, alikuja na baraka zake maana kila mishe niliyofanya ilitiki, pesa ikawa inaonekana, full heshima kitaa, changamoto kwa kweli zilikuwa za kawaida sana, jinsi alivyopatikana mtoto na upatikanaji wa pesa uliongezeka, ila alipofariki mishe zote zililala, mambo yakagoma kwenda full upweke.
Mtoto ana raha yake mkuu!
Sana tu mkuu, mtoto ni jambo jema sana.Daah pole Sana mkuu...!! Bhasi kweli alikuja na baraka zakee
Unajipanga kupata mtoto ukiwa masomoni,au unajipanga kisha ndo upateMe najipanga mkuu...
Pole sana mkuuMimi nilipata mtoto nikiwa mwaka wa kwanza, alikuja na baraka zake maana kila mishe niliyofanya ilitiki, pesa ikawa inaonekana, full heshima kitaa, changamoto kwa kweli zilikuwa za kawaida sana, jinsi alivyopatikana mtoto na upatikanaji wa pesa uliongezeka, ila alipofariki mishe zote zililala, mambo yakagoma kwenda full upweke.
Mtoto ana raha yake mkuu!
Aisee "...Kwangu haijawahi kunikuta ila kuna rafiki yangu wa karibu sana wakati tupo kidato cha nne alimpa ujauzito binti wa kidato cha pili mbaya zaidi yule binti baba yake alikuwa afisa elimu wa hiyo wila yetu.
Uzuri hazo taarifa za ujauzito zinamfikia msela tupo kwenye kumalizia mitihani ya kidato ya kidatp cha nne. Hivyo jamaa alipomaliza mtihani wa mwisho tu akasepa kwao bukoba huko binti alivyoona maeachwa kwenye mataa akamfahamisha baba yake.
Walimpompigia simu msela akadanganya yupo Uganda hivyo akirudi ataenda kwa mzee wayamalize.
Lakini mpaka leo hajawahi kumuona huyo mtoto aliyezaliwa wala hakuna mawasiliano na mzazi mwenzie kwa sababu alibadilisha namba ili kuogopa jela .