rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Katika maisha ya ujana hasa mahusiano kuna changamoto nyingi Sana tunakutana nazo.. Ilaa suala la MTU ulienae kwenye mahusiano kubeba Ujauzito na mwanaume hujajipanga Huwa linachanganya Sana akili na kuharibu mipangi mingi Sanaa...
Tupeane uzoefu juu ya Changamoto ulizopata pale ulipopata mtoto mapema hasa kipindi upo shule au chuo na namna gani ulizikabili ukizingatia hukuwa vizuri kiuchumi na labda hukutaka nyumbani wajue???? Karibuni