Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Tiririka mama. Tuweze kuwasaidia wenzetu.Namshikia mtu nafasi,..akija tuu nakaa pembeni[emoji16]
Na wew upo singo ?Uzi special kwa sie walala alone
Upo single kwani?Namshikia mtu nafasi,..akija tuu nakaa pembeni[emoji16]
Mke wa mtu huyo.Upo single kwani?
Sio singo tuu shemejii[emoji16]Upo single kwani?
Nitiririkeje chief?!Tiririka mama. Tuweze kuwasaidia wenzetu.
Waweke hadharan ambao wapo single na wamekata tamaa ya kupata wenza.Nitiririkeje chief?!
haya nipishe basiUlikokuwa
Mimi hapa nimeshafikaaπππNamshikia mtu nafasi,..akija tuu nakaa pembeni[emoji16]
Pitaa[emoji63]________haya nipishe basi
Upo singo mkuu ?haya nipishe basi
Walio kwenye complicated relationship tutawafanyia maombezi ya jumla wapate faraja.
Mmh,..ngoja waje wenyewe,.me wala siwafahamu piaWaweke hadharan ambao wapo single na wamekata tamaa ya kupata wenza.