Uzi wa wanaJF ambao marital status zao ni "Single"

Uzi wa wanaJF ambao marital status zao ni "Single"

Walio kwenye complicated relationship tutawafanyia maombezi ya jumla wapate faraja.

let me remind something very horrific in our life, wengi walio kwenye ndoa huandika "sIngle" hasa sijui humaanisha kitu gani, we chunguza your brtother ,sister or siblings on their marital wameandika vipi then anza kuwa Therapist kwao
 
Back
Top Bottom