Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
- Thread starter
-
- #41
Uzuri hao nimeshawapitia. Hawana hilo tatizo.let me remind something very horrific in our life, wengi walio kwenye ndoa huandika "sIngle" hasa sijui humaanisha kitu gani, we chunguza your brtother ,sister or siblings on their marital wameandika vipi then anza kuwa Therapist kwao
Mbona umechelewaaa[emoji20]Mimi hapa nimeshafikaaπππ
kwani mi na ww tupo singo ??Pitaa[emoji63]________
nilikuwa nagombania kuingia pale mlangoni si unaona watu walivyo wengiiMbona umechelewaaa[emoji20]
Hata sijui,..[emoji56][emoji56]kwani tuko singo kweli??kwani mi na ww tupo singo ??
MmmMi natamani hata wa kuchati nae tu mda huu
naona kama tupo mΒ² vileHata sijui,..[emoji56][emoji56]kwani tuko singo kweli??
Si ungeniita nkakusaidiaa,..ona mpaka kiti chako kimepata vumbii[emoji78]nilikuwa nagombania kuingia pale mlangoni si unaona watu walivyo wengii
sitii utanisaidia mumu au ndio basii nisimameMbona umechelewaaa[emoji20]
Mmhhh[emoji75]naona kama tupo mΒ² vile
Futa vumbi ukae,..au nikufutie[emoji82]??sitii utanisaidia mumu au ndio basii nisimame
nitakaa tuu ila sina wasiwasi maana najua kwenye pochi una kitenge utanisaidia kwakweli rafiki yakooSi ungeniita nkakusaidiaa,..ona mpaka kiti chako kimepata vumbii[emoji78]
Nmefika handsome boy njoo DM mamaMbona umechelewaaa[emoji20]
Mbona kuguna
Unajidaii eeeh,kwakuwa unajua sikosi kitenge kwa pochi,..lol[emoji28]nitakaa tuu ila sina wasiwasi maana najua kwenye pochi una kitenge utanisaidia kwakweli rafiki yakoo
Mm na mahendisamu kama vile mbingu na ardhi...Nmefika handsome boy njoo DM mama
Haya,..kaa saa utulie tuliiiNifutiee πππ
Tutalala alone sanaaaa, vipi uzi huu hauna vigezo vya umri hadi siye ma under 22 tunaruhusiwaaaππππ????Huu ni uzi maalumu wa kuorodhesha id za wana jf ambao wapo single.
Lengo ni kuwasaidia vijana wasitamani au kusumbua sumbua wake / waume za watu waliopo humu jf.
Pia ni kuwasaidia wale wanaoweka matangazo kule love connect wajue wapi pa kuanzia.
Karibuni mtiririke kadri muwezavyo.