Uzi wa wanaJF ambao marital status zao ni "Single"

Uzi wa wanaJF ambao marital status zao ni "Single"

let me remind something very horrific in our life, wengi walio kwenye ndoa huandika "sIngle" hasa sijui humaanisha kitu gani, we chunguza your brtother ,sister or siblings on their marital wameandika vipi then anza kuwa Therapist kwao
Uzuri hao nimeshawapitia. Hawana hilo tatizo.

Wewe je ?
 
Huu ni uzi maalumu wa kuorodhesha id za wana jf ambao wapo single.

Lengo ni kuwasaidia vijana wasitamani au kusumbua sumbua wake / waume za watu waliopo humu jf.

Pia ni kuwasaidia wale wanaoweka matangazo kule love connect wajue wapi pa kuanzia.

Karibuni mtiririke kadri muwezavyo.
Tutalala alone sanaaaa, vipi uzi huu hauna vigezo vya umri hadi siye ma under 22 tunaruhusiwaaa😉😉🙈🙊????
 
Back
Top Bottom