Uzi wa wanaJF ambao marital status zao ni "Single"

Ambao mpo single mmepewa nafas hadhimu hamtaki kuitumia. Hakika mtapata tabu sana msipokubali kujiorodhesha.

Na teuzi za kisarawe zitawapitia kushoto.
 
Ukiacha Mawasiliano Ulishawah Kukutana Nao Ukajiridhisha Na Research Yako
Niliokutana nao in person ni wengi zaidi ya hao niliowaandika hapo. Hata wewe mwenyewe tumewahi kuonana.
 
Mkuu mimi sio single naanzaje kuwa single mie nikufwe na hamu zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…