Huu ni uzi maalumu wa kuorodhesha id za wana jf ambao wapo single.
Lengo ni kuwasaidia vijana wasitamani au kusumbua sumbua wake / waume za watu waliopo humu jf.
Pia ni kuwasaidia wale wanaoweka matangazo kule love connect wajue wapi pa kuanzia. Hakuna age limit hata kama upo single na miaka 80+ karibu sana
Karibuni mtiririke kadri muwezavyo. Baadhi yao ni hawa
1. issaaman
2. Miss natafuta
3. Madam B
4. lup
5. King Kong III
6. Behaviourist (single but taken)
7. Killmonger
8. Gyole
9. Antonio de Guzman
10. Herrymiller
11. mugah di mathew
12. Dreka. Drake.
13. Ambiele Kiviele.
14. Jolie Jolie
15. Shunie