Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,779
Nimeanzisha uzi nikijua kutakuwa na angalau matukio mawili:
1. Kuhujumiwa na watu fulani (nilishawahi kutumiwa email -kwa bahati mbaya- iliyokuwa inamlenga mtu fulani wakati wa uchaguzi kwa lengo la kumchafua na nilitiwa msukosuko fulani - I was stupid enough to ask the sender some questions directly na matokeo yake yakawa hayo).
2. Kuna waimba mapambio ambao ni zumbukuku wasojua hili wala lile ambao wataingilia uzi huu.
Naomba PLEASE jikite kwenye theme: What should be done to mitigate the negative impressions the current regime is sending to the world at large?
Ukweli ni KUWA investors' confidence in this currently is at best negative. We need investors (no country in the world has ever developed without foreign investment).
What is your practical suggestion?