Uzi wa wenye simu za iPhone

Uzi wa wenye simu za iPhone

Wakuu naweza pata wapi IPhone X au 7plus?
Maduka Gani Original?
Ukiacha Mlimani city wenye Bei kubwa,Maduka mengine vipi? Na Bei zake!
 
Bonyeza batani ya kuzima na hapo kweny kiduara kwa pamoja
 
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.

Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
Sawa mkuu. Sisi wenye TECNO ngoja tupite kando...
 
Jaman kuna iphone hapa natumia bt the problem imeanza kuandika searching halaf no service hata kama ukiwek au ukitoa line unawez niulizia kwa mt mwenye utaalam au kam ipo ndan ya uwezo wako ukanisaidia kufix tatizo ndug zang
 
Au cheap imechoka? Nilishawahi kuwa na 6s nikiweka tigo ya tangu enzi za mwinyi kanaleta pigo za no servive, nikiweka halotel kanatulia
 
Jaman kuna iphone hapa natumia bt the problem imeanza kuandika searching halaf no service hata kama ukiwek au ukitoa line unawez niulizia kwa mt mwenye utaalam au kam ipo ndan ya uwezo wako ukanisaidia kufix tatizo ndug zang

Update software
 
Back
Top Bottom