Uzi wa Yanayoendelea Iran, Historia na Hatima yake

israel ingeanzisha mashambulizi kipindi kama hichi kuwasaidia wandamanaji
 
Ndo ulivyofundishwa kanisan? Unajifanya unaandika kama mwema kumbe taahira

Hao waarabu wanaenda ulaya kwa kupenda au sababu ya vita za kugombea rasimali zao?

Tatzo hamlizungumzii lakn mnazungumzia matokeo huu ni unafik wa kiwango cha rami
Unamatatizo ya kufikiri sio kosa Lako. Kwa hyo nini sasa kinawafanya wakimbilie huko kwa wazungu ambao wamewaibia rasilimalia zao badala ya kwenda Tailand, Bangladesh au Afghanstan?
 
Unamatatizo ya kufikiri sio kosa Lako. Kwa hyo nini sasa kinawafanya wakimbilie huko kwa wazungu ambao wamewaibia rasilimalia zao badala ya kwenda Tailand, Bangladesh au Afghanstan?
Mamaako alivotiwa mimba alienda kwa mjomba wako kuishi au kwa babaako?
 
US dollar 1 unaipata kwa Rial 1.45million
Watu walikuwa wanaisifu Iran kwamba inaweza kuhimili vikwazo na mambo yakaenda sawa, kumbe lilikuwa suala la muda tu.

Upumbavu mwingine ni kufadhili ugaidi na masilaha ya Nuclear wakati wananchi hali zao ni mbaya.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Ndo ulivyofundishwa kanisan? Unajifanya unaandika kama mwema kumbe taahira

Hao waarabu wanaenda ulaya kwa kupenda au sababu ya vita za kugombea rasimali zao?

Tatzo hamlizungumzii lakn mnazungumzia matokeo huu ni unafik wa kiwango cha rami
Sasa mkuu, Chacha kakuletea ghasia nyumbani kwako kwa kumwambia maneno ya uongo mkeo yaliyofanya muachane na watoto kutokua na mahali pa kuishi. Hata watoto wanajua Chacha mbaya ila wanaenda kuomba hifadhi kwake na sio kwa ndgu wa baba au mama.

Imekaa sawa hiyo??
 
Huu ndo mda sahihi Trump na Netanyahu kutia timu hapo!, labda tu mahandaki yake yamwokoe.
Akiingia ndio waandamanaji watamgeukia Trump!! Humu JF mna akili mbovu sana kudhani kutompenda Ayatollah ndio kunawafanya waipende Israel na USA? Hizo ni internal politics akiingia kiongozi mpya bado atakua mwiba kwa USA in one way or the other. Hamjifunzi Afghanistan leo kiko wapi?
 
Hiyo nchi ife tu, nchi gani inajisifu kwa kufadhili vikundi vya kigaidi?
Gaidi ndio nani? Rais wa Syria aliyewekwa kwa support ya Israel na Syria ni Al Qaeda leader wa Syria. Je ni gaidi au sio gaidi?
 

Waislam gani hukimbilia nchi za kikristo badala ya uarabuni??

Yaani muislam aache kukimbilia mecca aende vatican??

Teh teh teh,makafiri acheni fix
 
israel ingeanzisha mashambulizi kipindi kama hichi kuwasaidia wandamanaji

ISRAEL TAIFA LENU LA MUNGU MNALOLITUKUZA KWA KUMWAGA DAMU ZA WATU WASIO NA HATIA NDIYO MNAOMBA SASA LIENDE KUMWAGA DAMU ZINGINE IRANI??

LITHUBUTU LIONE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…