6321
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 649
- 1,117
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama first born ni Gaidi au Kahaba ndo kabisa utakuwa unacopy na kupesti anachokifanya.Ukiwa second born una nafasi kubwa ya kufanikiwa. Sababu njia inakua ishatengenezwa na support kutoka kwa first born
[emoji3][emoji3][emoji3]Masecond born hatuna stress....kazi kujikalia sebuleni na kusikiliza first born na last born wanavyorushiana maneno....
Huku tunajismea mioyoni heehehe...hawa hawakumbwa na corona.
Masecond born hatuna stress....kazi kujikalia sebuleni na kusikiliza first born na last born wanavyorushiana maneno....
Huku tunajismea mioyoni heehehe...hawa hawakumbwa na corona.
Haujambo second born?
Nyie huwa mnasahaulika hata kwenye kupakua ugali.
Upuuzi umezidi humu, shule zimefungwa ndio shida yake, subiri umalize kula kwa kengere utajua kama kuna mtiririko wa 1st, 2nd, 3rd...9th bornie
Dah we jamaa bwanaMasecond born hatuna stress....kazi kujikalia sebuleni na kusikiliza first born na last born wanavyorushiana maneno....
Huku tunajismea mioyoni heehehe...hawa hawakumbwa na corona.