Uzi wangu wa kwanza

Uzi wangu wa kwanza

Jf wote ni wanaume mademu wa jf ndo hao hao wa mtaani kwenu, sema wa huku wanakua na magari mazuri kazi nzuri mashangazi na hawategemei vipato vya waume zao
Em sema kweliii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
1724486131908.png
 
Huu ndo uzi wangu wa kwanza humu, mnikarbishe lkn yote ya yote umri umefika sasa kuwa na ndoa miaka 29 si haba.

Kwaio connection yenu ni muhimu kuhakikisha hili linafanikiwa. Kuanzia kuniungishia pisi humu, na kupush nitakapokwama si mnaelewa kuna michango pia!

Asanteni niko humu.
Umesha msalimia Ziro IQ?
 
Jf wote ni wanaume mademu wa jf ndo hao hao wa mtaani kwenu, sema wa huku wanakua na magari mazuri kazi nzuri mashangazi na hawategemei vipato vya waume zao
Na wote tuna masters😂
 
Back
Top Bottom