maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
habarin wakuu leo nimewaza kuwaletea uzi wa tofauti ili tu refresh mind
huu uzi ni wa kuchangia tofauti na mada inayoongelewa
Mfano: arsenali alifungwa goli tano ijapokua hakupata mimba
Karibuni uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app
huu uzi ni wa kuchangia tofauti na mada inayoongelewa
Mfano: arsenali alifungwa goli tano ijapokua hakupata mimba
Karibuni uzi tayari
Sent using Jamii Forums mobile app