Kwani ukiambiwa APRIL ni lazima iwe tarehe 1???????????!!!!!!!.Hii nayo ilikua april fools day au ??? mbona hatuoni mabadiliko yoyote?? Hivi JF inaendeshwa kwa kutumia saa za afrika mashariki au?
Kwani ukiambiwa APRIL ni lazima iwe tarehe 1???????????!!!!!!!.
Give me a break!!!!!!!!!!
bado tuna siku 30 nma siku yoyote kati ya hizo kutakuwa na uzinduzi unless otherwise kuna tatizo( and is acceptable ) tutaambiwa na mamode.
Tumebakiza mambo kadhaa; RSS Feeds, Disclaimer, Our Contacts na mengine kama yalivyoandikwa hapa: https://www.jamiiforums.com/content/114-jf-tumerejea-hewani.html tutakuwa tumeyahitimisha kufikia Ijumaa, endapo mna ushauri tafadhali tufahamishe support@jamiiforums.comJamani.. kuna wana JF.. Dar na mikoani.. inabidi kuandaa tafrija..
Tumebakiza mambo kadhaa; RSS Feeds, Disclaimer, Our Contacts na mengine kama yalivyoandikwa hapa: https://www.jamiiforums.com/content/114-jf-tumerejea-hewani.html tutakuwa tumeyahitimisha kufikia Ijumaa, endapo mna ushauri tafadhali tufahamishe support@jamiiforums.com