Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

Status
Not open for further replies.
Two thumbs up for great work
coming together, sharing together, working together, succeeding together ...................... i.e. TEAM = Together Everyone Achieves More
 
Hongereni kwa maboresho yote mnayokusudia kufanya kufanya kwa lengo la kuboresha baraza letu JF ni baraza la watu wenye uwelewa mkubwa ktk mambo mengi nashauri tuheshimu mawazo ya watu wengi wakiwemo wanaotumia lugha za matusi na kumwaga pumba majibu yanayotolewa dhidi ya watu wanaotoa matusi na pumba yananogesha baraza.
 
Nashukuru... Ndio ninaiona nilikuwa mahali ambapo hata simu za mkononi kuzipata ni shida thanks...

KWA KUONGEZEA...
Invisible... Inawezekana kwa mwezi/wiki au siku kuwepo na mada 10 bora zilizochangiwa sana kuliko nyingine haswa mpya...just for curiosity...
 
Kwa upande wangu nimevutiwa sana na hii kitu ya version ya simu sisi wengine ni watu wa kusafiri safiri hivyo itakupa nafasi ya kuingia humu kupitia simu zetu.
 
Hii nayo ilikua april fools day au ??? mbona hatuoni mabadiliko yoyote?? Hivi JF inaendeshwa kwa kutumia saa za afrika mashariki au?
 
Hii nayo ilikua april fools day au ??? mbona hatuoni mabadiliko yoyote?? Hivi JF inaendeshwa kwa kutumia saa za afrika mashariki au?
Kwani ukiambiwa APRIL ni lazima iwe tarehe 1???????????!!!!!!!.
Give me a break!!!!!!!!!!
bado tuna siku 30 nma siku yoyote kati ya hizo kutakuwa na uzinduzi unless otherwise kuna tatizo( and is acceptable ) tutaambiwa na mamode.
 
Kwani ukiambiwa APRIL ni lazima iwe tarehe 1???????????!!!!!!!.
Give me a break!!!!!!!!!!
bado tuna siku 30 nma siku yoyote kati ya hizo kutakuwa na uzinduzi unless otherwise kuna tatizo( and is acceptable ) tutaambiwa na mamode.

Dada/Kaka mbona umenijibu kimipasho mipasho nimeuliza swali nafkili ungependa kujibu..., ungejibu tu...! sipo hapa kusutana na yeyote. Na nafkili uzinduzi wowote unapendeza kuwa na tarehe maalum sio tu kusema April ?? hata leo ni April nakumbuka ile thread ya Companero about being precise..!
 
Tumebakiza mambo kadhaa; RSS Feeds, Disclaimer, Our Contacts na mengine kama yalivyoandikwa hapa: https://www.jamiiforums.com/content/114-jf-tumerejea-hewani.html tutakuwa tumeyahitimisha kufikia Ijumaa, endapo mna ushauri tafadhali tufahamishe support@jamiiforums.com

Niungane na wale waliowapongeza kwa kazi hii kubwa mliyoifanya. Niwaombee pia mzidi kuwa na nguvu za kumalizia hayo yaliyosalia. Ninaamini namna bora kabisa ya kuwalipa ni sisi wengine kuhakikisha kuwa JF inaendelezwa huku kila mmoja wetu akitimiza wajibu wake. Naamini hilo linawezekana.

Tutazame mbele daima, tunapogeuka nyuma iwe ni kwa ajili ya kupata mafunzo tu ya nini kilichotokea
 
Poleni sana kwa kazi nzito. Itabidi tuone jinsi ya kuikuza tafrija
 
Nawapa heko wachapaka kazi mliotuletea mambo mapya. Naungana na walishauri kuanzisha harambee! Tunatakiwa kuwa imara zaidi. Kuanzisha TV na haswa radio pia ni muhimu sana sana. Tuwaze namna ya kuwafanya wachapa kazi hawa wajue tuko pamoja! Naomba tuchangie zaidi na kwa kina mada hii.
Pongezi nyingi sana na nawatakieni afya njema.
 
Poleni sana viongozi na wataalamu wote wa JF kwa kazi ngumu mliyofanya hadi kufanikisha mradi huu. JF sasa hivi iko cool kwelikweli. Asanteni sana kwa kurudisha kijiwe hiki hewani tena.

I guess invisible, de-melo, silencer, brutus na wengineo nyuma ya JF hamkupata hata nafasi ya kusheherehekea siku yetu ya watanzania (wajinga) April mosi. Support yangu kwa juhudi hizi iko njiani mtaipata baada ya wikiendi hii huko Moneygram - Information zaidi zitafuata kwenye PM zenu next week.
 
Dah ebana eeh JF ya ukweli sio mchezo, Hongereni kwa kazi nzuri wakuuu...
kipindi chote hiki nilichokuwa nje ya JF nilijiona kama vile niko bush flani hivi kwani JF ndio source kubwa ya kupata ma nyu nyuziii.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom