Uzinduzi wa Awamu ya Pili ya Shindano la Stories of Change(2022)

JamiiForums

JF Official Account
Joined
Nov 9, 2006
Posts
6,229
Reaction score
5,285
SOC 2022 (Facebook).png

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”

Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kisheria kufanya uchechemuzi wa Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, JF inaratibu jukwaa la JamiiForums.com ambalo ni maarufu duniani kwa maudhui ya Kiswahili na tovuti namba moja ya Kitanzania kwa wingi wa watembeleaji.

Katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni, kuhakikisha mtandao unabaki mahali salama ambapo umma unaweza kupata habari/taarifa bora, JamiiForums ilibuni shindano liitwalo Stories of Change linalolenga kuwapa nafasi raia wote wenye uwezo wa kutayarisha maudhui kushiriki uandishi wa maudhui mtandaoni wenye kuleta mabadiliko.

Shindano hili linakusudia kuongeza maudhui bora mtandaoni hususani ya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Pia, shindano linalenga kuhamasisha ushiriki wa raia yakiwemo makundi yasiyopewa vipaumbele kama watu wanaoishi na ulemavu kushiriki katika ukusanyaji na utayarishaji wa taarifa nchini.

Awamu ya kwanza ya shindano hili ilifanyika kuanzia Julai hadi Oktoba 2021 ambapo jumla ya wananchi 1,509 walishiriki na kuandika jumla ya stori 1,536 na 936 kati yao kupitishwa kuingia kwenye shindano. Maudhui yaliyoshindanishwa yalihusu Maisha na Jamii (264), Uchumi, Ujasiriamali na Biashara (237), Utawala Bora (124), Afya (97), Elimu (83), Sayansi na Teknolojia (48), Kilimo na Ufugaji (33), Mahusiano (25), Mazingira (23) na Dini/Imani (2).

Washindi bora watano walikabidhiwa zawadi mbalimbali katika hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam mwezi Oktoba 2021.

Miongoni mwa maudhui yaliyowasilishwa yameweza kuleta mabadiliko katika mfumo wa utoaji huduma katika taasisi za Serikali huku baadhi ya taasisi zikipokea mapendekezo na kuahidi kufanyia kazi.​

Awamu ya Pili (2022)
Kutokana na mafanikio yaliyopatikana katika awamu ya kwanza ya shindano, JamiiForums ikishirikiana na Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (SJMC) na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) imeandaa Awamu ya Pili ya Shindano la “Stories of Change” litakaloanza Julai 15, 2022 na kuisha Septemba 14,2022.​

Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:
  • Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya.
  • Andiko liwe kwa lugha ya Kiswahili lenye maneno kati ya 800 - 1000.
  • Machapisho yanatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Ubwakuzi (Plagiarism) hautaruhusiwa
  • Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki atalazimika kutaja chanzo
  • Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi endapo ataibuka mshindi
  • Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili
Jinsi ya kushiriki:
  • Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi anaweza kushiriki, lakini ili kuchapisha Makala yake itamlazimu kuwa mwanachama wa JamiiForums.
  • Maandiko yawasilishwe kati ya Julai 15 – Septemba 14, 2022 kwenye jukwaa la “JF Stories of Change” (Stories of Change )
  • Baada ya kuweka andiko jukwaani, mshiriki atatakiwa AJITAHIDI kushiriki kwenye mjadala utakaotokana nalo kwa kutolea ufafanuzi hoja zitakazoibuka ili kuupa mjadala uhai na kuwashawishi wanachama kumpigia kura.
ZINGATIA: Mshiriki anaweza kuandika mara nyingi kadiri awezavyo ili kujiongezea nafasi ya ushindi.

Upatikanaji wa Washindi
Washindi watapatikana kwa kuzingatia kura zitakazopigwa kwenye mnakasha (thread) husika (30%) na pia uamuzi wa jopo la majaji (70%).

Washindi watatangazwa kwenye jukwaa la JamiiForums “Stories of Change” na kurasa za Jamii Forums katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Instagram na Telegram) na si vinginevyo

Zawadi Kwa Washindi zitakuwa kama ifuatavyo:-

Mshindi wa Kwanza atapata fedha taslimu shilingi Milioni 5
Mshindi wa Pili atapata fedha taslimu shilingi Milioni 3
Mshindi wa Tatu atapata fedha taslimu shilingi Milioni 2
Mshindi wa Nne atapata fedha taslimu shilingi Milioni 1
Mshindi wa Tano atapata fedha taslimu shilingi Laki 5
Mshindi wa Sita Mpaka wa Kumi watapata fedha taslimu shilingi laki 3 kila mmoja
Mshindi wa Kumi mpaka wa Ishirini watapata fedha taslimu shilingi laki 2 kila mmoja

Imetolewa na;
Jamii Forums

Masharti na vigezo soma Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)
 
Upvote 33
Nashukuru wa taarifa hii, ila bado sijajua unatumaje...mfano nimeandika stori yangu, nataka niifikishe moja kwa moja kwako muhusika...
 
View attachment 2288724

Asante sana uongozi wa JF kwa kuzingatia maoni ya wadau walioomba wigo wa zawadi upanuliwe. Naona mmezingatia maoni ya wadau kwa 101%, mbarikiwe sana✔️
 
Masharti na vigezo soma Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 202
 
Naomba kura yako kwenye makala yangu..https://www.jamiiforums.com/threads/mahangaiko-yangu-na-mitandao-ya-kijamii.2019547/
 
Habari WanaJF, nawapongeza kwa kuwa washiriki kwenye jukwaa hili la Jamii Forum. Naamini kupitia jukwaa hili tunaweza kuibadilisha jamii kwa kiasi kikubwa. Napenda kuwajulisha kuwa nimeshiriki jukwaa hili kwa kuandika makala kumi (10), ambapo nakukaribisha usome moja baada ya nyingine; utoe maoni, ukipenda ulike na kupiga kura. Ukishasoma, unaweza kushare kwa wengine wengi kadri uwezavyo, ili sauti ya mabadiliko iwe kubwa na isikike kwa watunga sera na sheria, na hatimaye tuone mabadiliko tunayoyatarajia. Makala yenyewe ni haya (katika link):

Mapenzi ni Janga kubwa kuliko Ukimwi

Tupunguze Mfumuko wa Bei kwa Kuwawezesha Wamachinga kuuza Nje ya Nchi

Serikali imfutie Mwananchi Tozo za Moja kwa Moja

Watoto wa Mitaani ni Janga la Kitaifa

Tukuze Uchumi wa kila Mtanzania kwa kuboresha Huduma za Afya

Mimi ni Meya wa Jiji

Uchumi wa Gesi Asilia Umnufaishe kila Mwananchi

Tanzania haipaswi kuendelea kuitwa nchi Maskini

Matumizi mabaya ya Rasilimali Asili ni Chanzo cha Mabadiliko ya Tabianchi

Tunaweza kufanya Mapinduzi ya Kilimo Tanzania kwa kulima wakati wa Kiangazi

Link zisipofunguka, search Tukuza Hospitality, utaona makala zote. Nakutakia kila la kheri!
 
Haha. Angalia ujuu utaona palipo andikwa stories if change afu unapagusa unaangalia tena utaona palipo andikwa post thread humu humo fanya yako. Jiongeze
Bro umeshanitoa kwenye reli kumbe hata uwe na kura nyingi kufail ni pale pale daah
 
Naitwa dastan kisaka n mshiriki wa story of change ni mpenzi mjuzi wa kilimo ungana namii katika makala yangu ya kilimo "UKITAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI"
20220911_081646.jpg

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Shindano la mwaka huu ni balaa...

Kila mtu anaandika vizuri...mambo ni mazuri.

Big up wote mlioshiriki na mnaoendelea kushiriki....Good luck, ningependa kushiriki ila uandishi mbovu,lol.
Naomba kura yako bestito kule jukwaani
 
Nifuatiliie kwa account hii ALLENGRACE ADIEL , nimeweka "makala nzuri sana" ya Stories of Change,

Utaona habari ya Msomi wa Udaktari aliyeacha udaktari na kuwa mchoraji wa picha!

Utaona kwanini Msanii Diamond Platnumz AMEAJIRI WATU WENGI na ana UTAJIRI mkubwa Kuliko MSOMI WA SHAHADA YA JUU AU PROFESA!

Hii itakusaidia kujua SIRI iliyojificha katika MAFANIKIO na UTAJIRI ambayo ELIMU ya DARASANI haiwezi kukufunulia SIRI Hii,

Hautachoka kuendelea kusoma
 
View attachment 2288724
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
UZINDUZI WA AWAMU YA PILI YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE”

Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia iliyosajiliwa kisheria kufanya uchechemuzi wa Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora. Vilevile, JF inaratibu jukwaa la JamiiForums.com ambalo ni maarufu duniani kwa maudhui ya Kiswahili na tovuti namba moja ya Kitanzania kwa wingi wa watembeleaji.

Katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni, kuhakikisha mtandao unabaki mahali salama ambapo umma unaweza kupata habari/taarifa bora, JamiiForums ilibuni shindano liitwalo Stories of Change linalolenga kuwapa nafasi raia wote wenye uwezo wa kutayarisha maudhui kushiriki uandishi wa maudhui mtandaoni wenye kuleta mabadiliko.

Shindano hili linakusudia kuongeza maudhui bora mtandaoni hususani ya lugha ya Kiswahili kwa ajili ya vizazi vya sasa na vya baadaye. Pia, shindano linalenga kuhamasisha ushiriki wa raia yakiwemo makundi yasiyopewa vipaumbele kama watu wanaoishi na ulemavu kushiriki katika ukusanyaji na utayarishaji wa taarifa nchini.

Awamu ya kwanza ya shindano hili ilifanyika kuanzia Julai hadi Oktoba 2021 ambapo jumla ya wananchi 1,509 walishiriki na kuandika jumla ya stori 1,536 na 936 kati yao kupitishwa kuingia kwenye shindano. Maudhui yaliyoshindanishwa yalihusu Maisha na Jamii (264), Uchumi, Ujasiriamali na Biashara (237), Utawala Bora (124), Afya (97), Elimu (83), Sayansi na Teknolojia (48), Kilimo na Ufugaji (33), Mahusiano (25), Mazingira (23) na Dini/Imani (2).

Washindi bora watano walikabidhiwa zawadi mbalimbali katika hafla iliyofanyika Jijini Dar es Salaam mwezi Oktoba 2021.

Miongoni mwa maudhui yaliyowasilishwa yameweza kuleta mabadiliko katika mfumo wa utoaji huduma katika taasisi za Serikali huku baadhi ya taasisi zikipokea mapendekezo na kuahidi kufanyia kazi.​

Awamu ya Pili (2022)
Kutokana na mafanikio yaliyopatikana katika awamu ya kwanza ya shindano, JamiiForums ikishirikiana na Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano kwa Umma, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (SJMC) na Muungano wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) imeandaa Awamu ya Pili ya Shindano la “Stories of Change” litakaloanza Julai 15, 2022 na kuisha Septemba 14,2022.​

Vigezo na masharti ya kushiriki katika shindano hili:
  • Mshiriki anatakiwa kutayarisha andiko linalochochea mabadiliko kwenye nyanja za Elimu, Biashara/Uchumi/Ujasiriamali, Afya, Utawala Bora, Demokrasia, Kilimo, Sayansi na Teknolojia na Afya.
  • Andiko liwe kwa lugha ya Kiswahili lenye maneno kati ya 800 - 1000.
  • Machapisho yanatakiwa kuwa habari au makala halisi zisizowahi kuchapishwa sehemu nyingine yoyote. Ubwakuzi (Plagiarism) hautaruhusiwa
  • Matumizi ya picha au video yanaruhusiwa ili kushibisha andiko. Endapo picha na video sio za mshiriki atalazimika kutaja chanzo
  • Mshiriki anaweza kutumia jina la kubuni ‘pseudonym’ lakini atatakiwa kutoa taarifa binafsi endapo ataibuka mshindi
  • Watendaji wa Jamii Forums na ndugu zao wa karibu hawaruhusiwi kushiriki kwenye shindano hili
Jinsi ya kushiriki:
  • Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 na zaidi anaweza kushiriki, lakini ili kuchapisha Makala yake itamlazimu kuwa mwanachama wa JamiiForums.
  • Maandiko yawasilishwe kati ya Julai 15 – Septemba 14, 2022 kwenye jukwaa la “JF Stories of Change” (Stories of Change )
  • Baada ya kuweka andiko jukwaani, mshiriki atatakiwa AJITAHIDI kushiriki kwenye mjadala utakaotokana nalo kwa kutolea ufafanuzi hoja zitakazoibuka ili kuupa mjadala uhai na kuwashawishi wanachama kumpigia kura.
ZINGATIA: Mshiriki anaweza kuandika mara nyingi kadiri awezavyo ili kujiongezea nafasi ya ushindi.

Upatikanaji wa Washindi
Washindi watapatikana kwa kuzingatia kura zitakazopigwa kwenye mnakasha (thread) husika (30%) na pia uamuzi wa jopo la majaji (70%).

Washindi watatangazwa kwenye jukwaa la JamiiForums “Stories of Change” na kurasa za Jamii Forums katika mitandao ya kijamii (Twitter, Facebook, Instagram na Telegram) na si vinginevyo

Zawadi Kwa Washindi zitakuwa kama ifuatavyo:-

Mshindi wa Kwanza atapata fedha taslimu shilingi Milioni 5
Mshindi wa Pili atapata fedha taslimu shilingi Milioni 3
Mshindi wa Tatu atapata fedha taslimu shilingi Milioni 2
Mshindi wa Nne atapata fedha taslimu shilingi Milioni 1
Mshindi wa Tano atapata fedha taslimu shilingi Laki 5
Mshindi wa Sita Mpaka wa Kumi watapata fedha taslimu shilingi laki 3 kila mmoja
Mshindi wa Kumi mpaka wa Ishirini watapata fedha taslimu shilingi laki 2 kila mmoja

Imetolewa na;
Jamii Forums

Masharti na vigezo soma Shindano: Uandishi wa Mtandaoni wenye kuleta tija (Stories of Change 2022)
Mtatoa lini matokeo ya hili shindano ili tuweke bando zetu kwa kutegea huo muda wakuwasilishwa kwa washindi wetu wa stories of change
 
kwa kweli sifahamu ndugu yangu maana naona watu wanaendelea kupiga kura sasa sijui muda ni lini
Naona kigezo cha hzo kura wakitoa ndio maana awamu hii sijaingia PM ya mtu kuomba kura ya mtu. Wafanye maamuzi yao kulingana na vigezo vyao walivyojiwekea
 
kabisa ila sijui wanachukua vigezo vya nmna gani mpaka sasa ila naona nduguyo hajaingia au kaatumia jina lingine safari hii
Naona kigezo cha hzo kura wakitoa ndio maana awamu hii sijaingia PM ya mtu kuomba kura ya mtu. Wafanye maamuzi yao kulingana na vigezo vyao walivyojiwekea
i
 
Naingia JF kila siku iendayo kwa Mungu,leo ndio nakutana na hili tangazo...juzi nilitumiwa jumbe PM na mtu kuniomba kura nikahisi ni mlevi.Kila la kheri kwa mlioshiriki.
 
Back
Top Bottom