The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Roho inamuumakwa hiyo ulitaka watu wawepo kwenye maandalizi ya mkutano au mkutano wenyewe?
Bado wanadhani bado wasukuma ni washamba wa kushangaa chopa na michezo ya bodaboda!Kwanini kwanza hao wajinga wameamua huo ujinga wao waanzie mwanza?
Nacheka kama mazuriWakuu
Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe hakuna watu, yaani kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure.
Maandalizi yakiendelea katika uwanja wa Furahisha kikundi Mwanza.
Uzinduzi wa kampeni hiyo utafanyika baadae leo na kisha itapelekwa katika mikoa mbalimbali kwa 'CHOPA' kwa siku 16.
View attachment 3354594
Labda muda bado.Wakuu

Muda bado, tunasobwa kutoka sehemu mbalimbali soon tutaujaza uwanjaWakuu