PreGE2025 Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe, kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure

PreGE2025 Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe, kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waongeze na parachichi kwenye sahani ya ubwabwa labda watu watasogea sogea
 
Huo ni uzinduzi au maandalizi?
Naona unajipinga mwenyewe!
 
Sasa hivi Kila mtu mjanja.. Mitandao inaumbua watu..
 
Wakuu

Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe hakuna watu, yaani kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure.

Maandalizi yakiendelea katika uwanja wa Furahisha kikundi Mwanza.

Uzinduzi wa kampeni hiyo utafanyika baadae leo na kisha itapelekwa katika mikoa mbalimbali kwa 'CHOPA' kwa siku 16.

View attachment 3354594
Kampeni inaitwa chaka 4 chaka,g55 waliingia chaka na wamepotelea chaka.Na Nzee ya ubwabwa kasahau kiandaa ubwabwa sasa mkule jeuri yenu.
 
Wangeenda mikoa ambayo ubwabwa ni adimu, sio Mwanza.
 
Watajuta sana waliohama kwenda CHAUMMA. Sijui kama watapata hata Mbunge moja atakayeshinda Jimboni.
 
Back
Top Bottom