PreGE2025 Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe, kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Waongeze na parachichi kwenye sahani ya ubwabwa labda watu watasogea sogea
 
Huo ni uzinduzi au maandalizi?
Naona unajipinga mwenyewe!
 
Sasa hivi Kila mtu mjanja.. Mitandao inaumbua watu..
 
Kampeni inaitwa chaka 4 chaka,g55 waliingia chaka na wamepotelea chaka.Na Nzee ya ubwabwa kasahau kiandaa ubwabwa sasa mkule jeuri yenu.
 
Wangeenda mikoa ambayo ubwabwa ni adimu, sio Mwanza.
 
Watajuta sana waliohama kwenda CHAUMMA. Sijui kama watapata hata Mbunge moja atakayeshinda Jimboni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…