Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Kigoma zito kashindwaaa kuletaa maendeleo, hivyo inatakiwa apumzishwee harakaaa saaaanaaaa. Ilikuokoa mkoa huo usididimiee.Unasema Kigoma hamna kilichofanyika, kisha unasema si wameleta maendeleo, kama sio utoto ni nini?
Kwa hio mkoa mzima anaurudisha nyuma kimaendeleo??Ki
Kigoma zito kashindwaaa kuletaa maendeleo, hivyo inatakiwa apumzishwee harakaaa saaaanaaaa. Ilikuokoa mkoa huo usididimiee.
Matusi endelea kutukana hata mtendewa miujiza wenuuu ndo baba yenu kwamatusi adi anakera saanaaaa.
Hivi we we unaufaham mkoa wa kigoma kweliiiii?? Hali mbaya saaanaaaa. Wawakilishi hamnakituu, hasa kigoma mjini kwa jamaaaaKwa hio mkoa mzima anaurudisha nyuma kimaendeleo??
Vp lindi mtwara na ruvuma??
Hujajibu hoja hata moja zaidi naona unapuyanga tuu, bora wewe ndio ukae kimya..
Ni kawaida sana ndio maana nlishangaa anataka kuhama chama chake alidhani itakuwa rahisi 😂😂 nyumbani ni nyumbani tu hawezi kusahau alikotoka na mawazo yake yametawaliwa sana na alikotoka, Heri angetulia tu ccm aombe hata kazi ndogo ndogoMbona kawaida sana? Nimeona mmeshikia bango utadhani hana kingine cha maana aliongea baada ya hapo
Kwa mtu aliekaa mahali for more than 40 yrs mambo kawaida sana.. ahsante Eli
Kama hakuwa tayari kuwasahau hao ccm hakuwa competent kuwa act, ni heri angebaki tu ccm wampangie hata kazi ya mwenyekiti wa kata ingemfaa maisha yangeendelea fresh tu.Kwa mtu aliekaa mahali for more than 40 yrs mambo kawaida sana.. ahsante Eli
Brother bora umefunguka, Hatuwezi kuchukulia poa vitu hivi kwenye vitu vinavyohusu Taifa, Ni heri kwenda ukweni kutoa posa na ukateleza ulimi kutaja jina la ex wako mieachana badala ya mke wako kuliko kufanya alichofanya huyu mzee,Haoni hata rangi na sura ni tofauti mpaka ateleze kiasi hicho? Lakini hiyo ndio maana ya ACT-Wasiokuwa wazalendo.
KabisaKwa mtu aliekaa mahali for more than 40 yrs mambo kawaida sana.. ahsante Eli
Acha kuleta porojo zako mkuu, ina maana wewe ndio umejulia video hii humu??, Huangaliagi matukio haya yakiwa yanarushwa live kwenye Tv au tv ipo kwajili ya kuangalia tu Wakata viuno wa bongo flava!!!,Hiyo video mbona kama imetengenezwa tazama mdomo unavyobehave na maneno yanayotoka ni vitu tofauti, na pia imekatwa makusudi. Kwa wataalam wa video imetengenezwa hiyo. Mimi sina chama nimetoa maoni kama neutral person
Kwani yuko chama gani tofauti na ccm?
Kwa jirani sio kwako 😂😂😂Nyumbani ni Nyumbani
Naona Yupo na maazi ya ACT lakini pengine mawazo yapo CCM, maana ulimi unaongelea kilichomo kichwaniKwani yuko chama gani tofauti na ccm?