Tatizo lako ni elimu yako ni ya kuungaunga; huelewi chochote kuhusu maendeleo yanavyopatikana.
Elewa hivi japo kiduchu; maendeleo hayaji usiku mmoja balli ni mipangilio na mikakati ya muda. Mfano, mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu.
Rais wa Tanzania , Mhe. Dr. Magufuli na serikali yetu ya CCM tunaleta maendeleo kwa awamu mwisho wa awamu zote za serikali hii ya awamu ya Tano utajionea hatua ambayo nchi yetu itakuwa imepiga kimaendeleo.
Mfano, Jiulize na jieleweshe kwa mfano huu mdogo tu kuhusu maendeleo ya Chama cha Zitto - ACT WAZALENDO na hao CDM tangia vimeanzishwa ni kwa nini havijaweza kujenga ofisi za vyama vyao katika nchi nzima?.
Hiyo ni mifano rahisi sana kwako kuelewe kuwa ZITTO KABWE Z ni miongoni mwa watu wenye akili kidogo sana hajui alisemalo. Ikumbukwe kuwa Zitto ana shahada ya Uchumi kutoka chuo kikuu cha UDSM ila kama lakini kanuni ndogo tu ya maendeleo inamshinda basi bado wanasiasa wa upinzani walio wengi wanahitaji kuanza upya masomo ya Chekechea hadi vyuo vikuu ili kujifunza upya.
Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.