Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
Tangu lini waliolelewa na kusomeshwa na kutunziwa familia zao na sisiemu halafu wakaikimbia? Thubutu.Naona Yupo na maazi ya ACT lakini pengine mawazo yapo CCM, maana ulimi unaongelea kilichomo kichwani
😂😂😂😂Tangu lini waliolelewa na kusomeshwa na kutunziwa familia zao na sisiemu halafu wakaikimbia? Thubutu.
Unapuyanga tuu sioni ukijibu hoja zaidi naona mtu anayetetea tumbo lake bila kujali magumu ya watz.Tatizo lako ni elimu yako ni ya kuungaunga; huelewi chochote kuhusu maendeleo yanavyopatikana.
Elewa hivi japo kiduchu; maendeleo hayaji usiku mmoja balli ni mipangilio na mikakati ya muda. Mfano, mipango ya muda mfupi, muda wa kati na muda mrefu.
Rais wa Tanzania , Mhe. Dr. Magufuli na serikali yetu ya CCM tunaleta maendeleo kwa awamu mwisho wa awamu zote za serikali hii ya awamu ya Tano utajionea hatua ambayo nchi yetu itakuwa imepiga kimaendeleo.
Mfano, Jiulize na jieleweshe kwa mfano huu mdogo tu kuhusu maendeleo ya Chama cha Zitto - ACT WAZALENDO na hao CDM tangia vimeanzishwa ni kwa nini havijaweza kujenga ofisi za vyama vyao katika nchi nzima?.
Hiyo ni mifano rahisi sana kwako kuelewe kuwa ZITTO KABWE Z ni miongoni mwa watu wenye akili kidogo sana hajui alisemalo. Ikumbukwe kuwa Zitto ana shahada ya Uchumi kutoka chuo kikuu cha UDSM ila kama lakini kanuni ndogo tu ya maendeleo inamshinda basi bado wanasiasa wa upinzani walio wengi wanahitaji kuanza upya masomo ya Chekechea hadi vyuo vikuu ili kujifunza upya.
Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.
Hahahaha!! Utazua sokomoko ukweni!Brother bora umefunguka, Hatuwezi kuchukulia poa vitu hivi kwenye vitu vinavyohusu Taifa, Ni heri kwenda ukweni kutoa mahari na ukatereza ulimi kumtaja ex wako mieachana badala ya mke wako kuliko kufanya alichofanya huyu mzee,
Unapuyanga tuu sioni ukijibu hoja zaidi naona mtu anayetetea tumbo lake bila kujali magumu ya watz.
😂😂😂😂, Ila watu mna maneno aisee sijui mnayatoaga wapiWaswahili wanasema ni ngumu kwa mwanamke kumsahau mwanaume aliyemtoa bikira.
Kumbe huu ni mwaka wa uchaguzi
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Ni mgombea kwa sasa anaweza akakosa, inabidi mkubali tuu. Tunajua hamuwezi kwenda chooni akitoka kwenye kiti cha uraisi.Tambua hili, Rais wa Tanzania ni Mhe. Dr. Magufuli.
Kama huelewi, waulize wote wanaoelewa jambo hili.