Uzinduzi wa Kampeni, Kibondo: Shaka aja na kaulimbiu "Apigwe adui apigwe" kwenye sanduku la kura

Uzinduzi wa Kampeni, Kibondo: Shaka aja na kaulimbiu "Apigwe adui apigwe" kwenye sanduku la kura

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
IMG-20210507-WA0152.jpg

CCM imeanza kujipanga kwa uchaguzi.
Malalamiko ya wapinzani hatupendi.
 
Wapinzani wa hii nchi kaeni chonjo,trekta mpya hii inang'oa mpaka visiki.
Mmeanza maneno yenu ya uvunjifu wa umoja wa kitaifa

Ikiwa mama mwenyewe kasema hatoangalia unatoka chama gani anajali utendaji na uchapa kazi zaidi

We unafikiri wananchi tunasubiri nini kuchinjaaaaa, kama wakubwa wetu wakituruhusu kukiwasha uzi ni uleule tu za uso kama Oct 2020
 
Hizi siasa za taarabu za mipasho sasa.

Leta sera. Acha kukera.
Leta hoja. Acha viroja.

Upinzani wa kisiasa si uadui.
Bara kisasa si Kisiwandui.

Gamba makapi?
Huyu mshamba wa wapi?
wanaofanyaga siasa ni uadui wapo ubelgiji na Dubai kwa sasa
 
Siasa sio uadui , mmataka kumpiga nani tena ?
 
Back
Top Bottom