Uzinduzi wa Kampeni, Kibondo: Shaka aja na kaulimbiu "Apigwe adui apigwe" kwenye sanduku la kura

Uzinduzi wa Kampeni, Kibondo: Shaka aja na kaulimbiu "Apigwe adui apigwe" kwenye sanduku la kura

Ila ccm bwana huyu shoga kweli ndio wa kumreplace mzee kijana wa v 8 kweli?
Hapa mama kahaibisha chama kwa kuendekeza uzanzibari wake kwenye teuzi zake
 
View attachment 1776798
CCM imeanza kujipanga kwa uchaguzi.
Malalamiko ya wapinzani hatupendi.
Adui wanayemfukuza ni nani wakati jimbo lilikuwa chini ya umiliki wao? Au adui yao ni wananchi wa Kibondo na wanataka kuwapiga kwenye sanduku la kura pale watakapoamua kuchagua mtu wanayempenda?
 
Back
Top Bottom