FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Mpaka unakufa hauta kanyaga ukowanaofanyaga siasa ni uadui wapo ubelgiji na Dubai kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka unakufa hauta kanyaga ukowanaofanyaga siasa ni uadui wapo ubelgiji na Dubai kwa sasa
Imekuaje bango linatoka bila kuhakikiwa?!Tayali=Tayari
Kuonyesha(kuonya)=kuonesha(kuona)
Hapo ndio uwezo wao ulipofikia,usifikiri kama hawakufanya uhakiki.Imekuaje bango linatoka bila kuhakikiwa?!
Wapinzani wako salama, wanasubiri teuzi za mama.....wapinzani wako salama na maneno haya
au wanajua JPM ndio alikuwa mbaya?
wait and see
mbona tar 4 may ilishapita? mmechuja sana
Katibu mwenezi arudi shuleTayali=Tayari
Kuonyesha(kuonya)=kuonesha(kuona)
🤣Hapo ndio uwezo wao ulipofikia,usifikiri kama hawakufanya uhakiki.
Adui wanayemfukuza ni nani wakati jimbo lilikuwa chini ya umiliki wao? Au adui yao ni wananchi wa Kibondo na wanataka kuwapiga kwenye sanduku la kura pale watakapoamua kuchagua mtu wanayempenda?