Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa kampeni wa CHADEMA Jimbo la Nyamagana, Mwanza uwanja watapika

Nina hakika, hili jimbo huyu dogo Pambalu asipofanyiwa huu ujinga wa tume wa siku hizi analichukua asubuhi saa mbili, anakubalika mpaka nashangaa, sijui ana nyota ya wapi huyu!.

Na nyie mnaosema Chadema inakufa, sijui mkiona vijana wadogo kama Pambalu wakiwasha moto mnakuwa kwenye hali gani?
 

Attachments

  • Mkutano wa ufunguzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Nyamagana Mhe. @joh ( 640 X 640 ).mp4
    2.5 MB
Kanda pendwa imethiitisha kumkumbatia msukuma feki ni Ungese tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…