Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa kampeni wa CHADEMA Jimbo la Nyamagana, Mwanza uwanja watapika

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa kampeni wa CHADEMA Jimbo la Nyamagana, Mwanza uwanja watapika

Chadema mbasubiri nn kutumia kitengo cha habari kuna mizigo mingi, nahis kuna watu wanatumika kuhujumu chama.

Aiwezekan tukose warushaji matukio kwa wakati.
 
Akagombee kwao
Nina hakika, hili jimbo huyu dogo Pambalu asipofanyiwa huu ujinga wa tume wa siku hizi analichukua asubuhi saa mbili, anakubalika mpaka nashangaa, sijui ana nyota ya wapi huyu!.

Na nyie mnaosema Chadema unakufa, sijui mkiona vijana wadogo kama Pambalu wakiwasha moto mnakuwa kwenye hali gani?
 
Hivi kwa nini CHADEMA wao hawaongelei ndege(tausi) na madaraja

CHADEMA hawawezi kuzungumzia VITU badala ya WATU...!!!
CHADEMA wana amini falsafa aliyokuwa nayo Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere ya kwamba MAENDELEO ya nchi lazima ya AKISI(reflect) hali halisi ya MAENDELEO YA WATU na siyo VITU!

Anachofanya Magufuli Jiwe kutembea nchi nzima akijisifu kwa kujenga madaraja, ndege tausi au Bombadier kwa Hakika ni uwendawazimu wa kuokota makopo barabarani!!!!🤣
 
Back
Top Bottom