technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Mbwembwe tu,huyu Pambalu hata udiwani hawezi kushinda ndioa aje ashinde ubunge?Viwanja vya Mabatini, Nyamagana, Mwanza uzinduzi wa kampeni za mgombea ubunge jimbo la Nyamagana @JPambalu leo. Wananchi wanasema wanakwenda na dogo janja. #nohatenofear ✌ https://t.co/etl8bWJny2
Umeiga mpaka matusi sasa!Kanda pendwa imethiitisha kumkumbatia msukuma feki ni Ungese tu.
Mwenye macho haambiwi tazama!!!Hahaah! Social distance observed, watu wako scattered sana hao...
Litaje tusi gani?Umeiga mpaka matusi sasa!
Nina hakika, hili jimbo huyu dogo Pambalu asipofanyiwa huu ujinga wa tume wa siku hizi analichukua asubuhi saa mbili, anakubalika mpaka nashangaa, sijui ana nyota ya wapi huyu!.
Na nyie mnaosema Chadema unakufa, sijui mkiona vijana wadogo kama Pambalu wakiwasha moto mnakuwa kwenye hali gani?
Mbona mwenyekiti wa ccm alikataa kwenda kugombania kwao BurundiAkagombee kwao
Hivi kwa nini CHADEMA wao hawaongelei ndege(tausi) na madaraja