Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
- Thread starter
- #21
Mchungaji angalia na hii pia kisha sema kama kafu bado wana chama jimbo la Bukoba mjini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchungaji angalia na hii pia kisha sema kama kafu bado wana chama jimbo la Bukoba mjini.
![]()
hahahahahahahaha!!!!! mchungaji mimi nimejiandikisha lakini katika jimbo lingine la mkoa mwingine. Hata hivyo ingawa niliko mbunge wa Chadema kaenguliwa, bado nitatoa kura yangu kwa Diwani na Dr Slaa ambaye ni mgombea wa chama cha Chadema.wamejiandikisha? hilo ni suala muhimu
Mag3 katika mazingira haya hapa napo kweli unaweza kusema wamehujumiwa? Achana na magazeti yanayoandika pumba. Huu ndio ukweli wenyewe.Huko Daily News na Habari Leo CUF wanaeleza kuwa wanahujumiwa na kufanyiwa fujo na Chadema - yaani wanawalaumu Chadema badala ya CCM ! Kaazi kweli kweli !
Yes tuletee mkuu tunahitaji kujua nini kinajili huko. Tunasubiri na picha piaNimesema niko bukoba.kesho (alhamisi) chadema inazindua ubunge pale kashai.nitawaletea live
Chungaji Maskhara haya, Huu ni Mkutano wa kampeni au ni Siku ya Gulio Katerero
Huu uwanja unatumika kwenye shughulika na shughuli mbali mbali za kijamii. Hivyo hata hawa watu wa cocacola wamekuwa wakitangaza nia zao kupitia paintings zao uwanjani hapo.Mimi nimependa hiyo mandhari, mlima na mawemawe! Hivyo hapo ndio Bukoba Mjini? By the way huo mkutano ulifanyika kwa hisani ya CocaCola?
Mchukia Fisadi hizi picha ni za leo? maana nasikia Rwakatare kazindua kampeni leo.Wagombea ubunge na udiwani kwa tiketi ya chadema mkoani Kagera
![]()
Za leo mkuu nimetumiwa muda mfupi uliopitaMchukia Fisadi hizi picha ni za leo? maana nasikia Rwakatare kazindua kampeni leo.
Za leo mkuu nimetumiwa muda mfupi uliopita