Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umati ni mkubwa sana. Kijani na Njano kila mahali mpaka wasanii na wao wamevaa. Vuvuzela kwa fujo.
Ndiyo ni mkubwa sana. Lakini kazi kubwa imefanyika kuwapeleka pale. Majira ya saa 4 asubuhi nilikuwa natoka Magomeni kwenda Chang'ombe, nilikutana na zaidi ya mabasi 8 hivi yakiwa yamejaza wafuasi wa CCM wakielekea kule. Sasa hapo sijui barabara zingine kuu kama vile Morogoro Rd etc.
Unavyoona wewe ni bendi gani ya mziki itashinda.Banana Zoro / B band amemaliza kutumbuiza. Amemodify kidogo wimbo wake wa Zomba kuinadi CCM