Mzalendotz20
Senior Member
- Sep 2, 2020
- 109
- 113
Hakika ni neema TupuHii kweli ni Neema tosha kabisa kwa watu wa Zanzibar maana kwa ninavyomfahamu huyu kiongozi ni kiongozi makini sana na anafanya vitu vyake kwa umakini wa hali ya Juu. Zanzibar tumepata Neema ya kutosha
Hapana usiongee kwa hisia ni vyema ukafanya ResearchHuu ndio ukweli..... Yaani wanaccm wenyewe hawataki kusikia kuhusu mwinyi....
Hiyo imekwisha tayari. Zanzibar tumechagua Mwinyi wengine watafte urahisi na sio Rais. Rais ni MwinyiVIJANA WA ZANZIBAR WANASHUKURU UJIO WA MWINYI CCM oyeee
View attachment 1567283
Hahaha nyie jamaa ni wa hovyo subirini trh 15Kaugua aisee ghafla tu. Na sasa yuko Chattle!
Mimi pia niliwaza hilo ona siku hizi ana madeni kibao mpaka serena wanamdai million 150Ushauri wangu kwa Mwinyi baada ya kuapishwa inabidi amtafutie kazi ya kufanya ndugu Maalimu kwa sababu ndio kipindi chake cha mwisho cha kugombea ,, tunatambua mchango wake kwa nafasi aliyokua nayo kabla lakini sikubaliani na tamaa zake ,,, ukweli ni kwamba maalimu ni zaidi ya Mwananzira .
Aibu gani ndugu mbona unaongea kama unachuki na ccm jenga hoja.Mpaka mwenyewe anajishtukia, anatamani hata tarehe 28 isifike, sababu ya aibu atakayopata
Acheni kujitoa ufahamu, Magufuli kaona apumzike maana timu iliyopo uwanjani Mama Samia na Majaliwa inatosha Sana, chadema nanyi mmetuma poyoyo wenu Salum Mwalimu akahutubie uwanja mtupu!Kaugua aisee ghafla tu. Na sasa yuko Chattle!
Malim atusamehe kwani tumefanya kosa gani? Au kwenda na Hussein mwinyi ni kosa hadi tusamehewe?
Anaweza kufa huyo Babu. Wazanzibari hatuwezi ongozwa na Babu hata kidogo tunahitaji kijana mchapa kazi Kama MwinyiSeif umri umeenda astaafu siasa,matokeo ya uchaguzi akisikia amekosa ushindi na amepata wabunge watano Zanzibar anaweza pata mshtuko wa moyo akapitiliza mazima asiamke.
Angekua mzalendo wa kweli angekiacha Chama chake CUF?Tunajali uzalendo halisi
Tena ACT wale ndio hamna kitu kabsa,Tunajali uzalendo halisi
Alimwachia msaliti baada ya kufikia beiAngekua mzalendo wa kweli angekiacha Chama chake CUF?
Wapinzani wa nchi hii muda wa kujinadi kwa sera na kujipambanua nini utawafanyia wakikupa dhamana wao muda wote ni propaganda zisizo na maana hata kwao wenyewe, imagine kusema ccm anatumia wasanii au anasomba watu inakuongezea vipi kura kukupa ushindi?Kiukweli ujapima vizuri,, fikilia upya ndugu yangu lakini watu wanatembea kwa usafili siku hizi sio kwa miguu ,, unavyosema wanasombwa unawakosea sana wao sio mizigo,,sema wanaenda kusikiliza sela safi za Dkt H.A.K.Mwinyi
Zanzibar tunasimama na Mwinyi,✊✊Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar.
Mkutano huu utarushwa mubashara na vituo vya televisheni vya TBC, ZBC, Clouds TV, Channel 10 na ITV, pia matangazo yatarushwa live kupitia kurasa rasmi za Chama Cha Mapinduzi katika mitandao ya kijamii;
Twitter; @ccm_zanzibar @ccm_tanzania & @hpolepole
facebook; @zanzibarCCM na @tanzaniaCCM
Youtube CCM Zanzibar & CCM Tanzania
Instagram: @ccmtanzania
#YajayoNineemaTu
#TwendeNaMwinyi
#KuraKwaMwinyi2020
View attachment 1567266
Kikundi cha Zanzibar Big Star kikiwa jukwaani kutoa burudani kwa wanachama wa CCM na wananchi wa Zanzibar waliojitokeza kwa wingi katika uzinduzi wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti.
Huyo huwezi mwamini hata siku moja Kama kashindwa kuwa mwaminifu tu kulipa deni pale serena hotel leo hii umkabidhi Zanzibar si ataiuza kabisa na kuiweka REHANI. Maalim seif hatufai wazanzibariAngekua mzalendo wa kweli angekiacha Chama chake CUF?
Umekua msemaj wa CCM ss!Huu ndio ukweli..... Yaani wanaccm wenyewe hawataki kusikia kuhusu mwinyi....
Babu mpango mzima,Uhuru,haki na uzalendo halisiZanzibar tunasimama na Mwinyi,✊✊
Hakika ni Neema tupu ✊
Hapana kwa kweli, hao jamaa HAKUNA haja kuwaomba radhi. Watu matusi eti uhanith Sasa Basi. Huyo wa kuomba radhi kweli? Acha tutimize wajibu wetu ambao ni haki kisheria.Tunamwomba radhi kuwa hatutampigia kura yeye, ila tutampigia Hussein
Wanaosombwa na mabasi pia wanasafirishwa kama mizigo ulimsikiliza Mama Maria Nyerere kule Mara??Kiukweli ujapima vizuri,, fikilia upya ndugu yangu lakini watu wanatembea kwa usafili siku hizi sio kwa miguu ,, unavyosema wanasombwa unawakosea sana wao sio mizigo,,sema wanaenda kusikiliza sela safi za Dkt H.A.K.Mwinyi