Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani


Zanzibar tunaenda na Dkt Mwinyi..
#Anakubalika
#MtuWaWatu
#KijanaMsomi
#Mwinyi2020✅
#TwendeNaMwinyi
#YajayoNineemaTu
 

2020 ni zamu ya Dkt aliechaguo la wengi wala sio mwingine,Tunaenda na Mwinyi wala sio yule mdaiwa sugu wa Serena hotels ,Zanzibar inahitaji maendeleo na sio siasa chafu za kuvuruga muungano.
Huu ndio mwaka wa kumsataafisha Maalimu na Siasa zake za chokochoko.
 

Attachments

  • 1599905384561.png
    6.3 KB · Views: 1
Zanzibar kumekucha, tunaenda na Hussein Mwinyi. Tunasema yajayo ni neema tu.
 
Hakika wazanzibar wameamua, Dr. Hussein Mwinyi na Chama Cha Mapinduzi kitashinda kwa kishindo Zanzibar.
 
Kwa uzinduzi huu, Mzee Seif anastaafishwa siasa Zanzibar. Dr. Mwinyi ni muadilifu, mzalendo na kiongozi mwenye weledi.
 
Zanzibar ni mfano mzuri wa CCM wakiachiwa nchi, hakuna muijiza utafanyika na Watarudi tena na ahadi za nchi ya asali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…