Uzinduzi wa Kitabu Kipya Zanzibar ''Barza ya Majestic na Machinjioni Kwa Bamkwe''

Wana....
Nimefurahi kusikia hivyo.
Usikise kutueleza uliyoyakuta humo.
Sh Mohamed
Kitabu nilikipata ikiwa tayari usiku na sikuweza kustahamili kukiwacha bila ya kukisoma
Kitabu nimekimaliza muda mfupi uliopita, Kweli kuna mengi ambayo muandishi ameyaeleza.
Kama ulivyosema ukikianza kukisoma basi unaingiwa na shauku ya kutaka kujua ukurasa wa pili una kitu gani.
Ahsante
 
Wand...
Ibrahim Hussein kafanya kazi mzuri Mashaallah.
 
Wand...
Ibrahim Hussein kafanya kazi mzuri Mashaallah.
Sh Mohamed
Hakika Sh Ibrahim amefanya kazi nzuri

Samahani Sh Mohamed, ninajaribu kukitafuta kitabu cha “Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru”
Jee nitaweza kupata soft copy?
Natanguliza shukurani
 
Mwandishi maarufu wa hekaya Adam Shafi naye ni mmojawapo wa waliofungwa huko baada tu ya kuuliwa Abeid Aman Karume. Kaandika chochote kwenye hicho kitabu?
 
Itabidi nikitafute hicho kitabu, namfahamu Adam Shafi, kweli alifungwa wakati huo.
 
Sh Mohamed
Hakika Sh Ibrahim amefanya kazi nzuri

Samahani Sh Mohamed, ninajaribu kukitafuta kitabu cha “Kwaheri ukoloni kwaheri uhuru”
Jee nitaweza kupata soft copy?
Natanguliza shukurani
Wandugu...
Ingia Google kipo hapo.
 
Mohamed Said ,

..tafadhali mtafute Brig.Gen.Simba Waziri Simba, mtoto wa Kariakoo, na shujaa wa vita vya Kagera.

..huyu bwana alikuwa Mkuu wa kikosi wakati wa vita, na akawa muanzilishi wa chuo cha jeshi la Uganda kilichoko Jinja.

..kwa kweli tusiache historia ya mashujaa kama hawa ikapotea.
 
JK,

Brig. General Simba Waziri Simba
Tehran, Iran 2006​
 
Proud of you mzee wangu. Shukran sana kwa elimu ya bure unayotupatia hapa.
 
Hivi ni kwanini licha ya vitabu mbalimbali vinavuhusu mapinduzi ya Zanzibar kuandikwa lakini Bado wazanzibari (hasa wananchi )

Bado wanajitokeza kusherehekea sherehe hizo ...???



FaizaFoxy Mohamed Said Angel Nylon
Usidhani kila anayekwenda kwenye sherehe anasherehekea.

Mfano mzuri ni ma-X wanaoalikwa na kuhudhurianharusi za ma-X wao.

Utajaza mwenyewe.
 
Hivi ni kwanini licha ya vitabu mbalimbali vinavuhusu mapinduzi ya Zanzibar kuandikwa lakini Bado wazanzibari (hasa wananchi )

Bado wanajitokeza kusherehekea sherehe hizo ...???



FaizaFoxy Mohamed Said Angel Nylon
Unafiki
Wanaojitokeza hawana budi kufanya hivyo ili kujipendekeza kwa mabwana zao
Lkn waliokuwa wahanga hasa wa mapinduzi yale ya mchongo wanaumia mpk Leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…