pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ata hivyo kulikuwa nakuna kituo cha kuchochea au kupooza umeme mpk waje zindua nguzo mkuuHuo ni uzinduzi wa umeme vijijini REA mpaka 2020 vijijini kote Tanzania kutakua na umeme
Huo ni uzinduzi wa mpango wa umeme vijijiniPicha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale wanaotembea na makasi kama makarani na kalamu. [emoji23]![]()
Umekurupuka kijanaPicha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale wanaotembea na makasi kama makarani na kalamu. [emoji23]![]()
mkuu ata hivyo kulikuwa nakuna kituo cha kuchochea au kupooza umeme mpk waje zindua nguzo mkuu
Hayo ni maeneo ambao umeme haujawi kufika tokea Uhuru na kuhusu kituo cha kuchochea au kupooza umeme, transformer ndio kazi yake hiyo na hapo naona unaona hiyo ni transformermkuu ata hivyo kulikuwa nakuna kituo cha kuchochea au kupooza umeme mpk waje zindua nguzo mkuu
Nilijua utafika humu kutetea huu utoto. Yaani watu na akili zao wanasimama chini ya danger/hatari. Kuzindua transfoma? Makubwa haya. Kesho watapanda kwenye nyaya. [emoji38] Bado utasema tu hapo sawa.Huo ni uzinduzi wa umeme vijijini REA mpaka 2020 vijijini kote Tanzania kutakua na umeme
Unweza zindua hata Kwenye taamkuu ata hivyo kulikuwa nakuna kituo cha kuchochea au kupooza umeme mpk waje zindua nguzo mkuu
He! PolePoleNilijua utafika humu kutetea huu utoto. Yaani watu na akili zao wanasimama chini ya danger/hatari. Kuzindua transfoma? Makubwa haya. Kesho watapanda kwenye nyaya. [emoji38] Bado utasema tu hapo sawa.
Hahaha. 😀 Ndio maana wakasimama chini ya transfoma? Wauza sura buana!Umekurupuka kijana
kama hujui uliza
huo ni REA
UMEME VIJIJINI
sikatai kupita vijiji vingi ila uzinduzi wake ndo umekaa kisanii saniiUnweza zindua hata Kwenye taa
maana Kikubwa ni kuzindua Mladi unao saidia watanzia Wengi,
Hiyo REA imepitia vijiji vingI sana
aya bwana ila sidhani kama hapo ndo kituo kikubwa cha kupooza au kuchochea umeme ila yote tisa wananchi wapate umeme 24/7Hayo ni maeneo ambao umeme haujawi kufika tokea Uhuru na kuhusu kituo cha kuchochea au kupooza umeme, transformer ndio kazi yake hiyo na hapo naona unaona hiyo ni transformer![]()
Unachekesha kwani hiyo transformer haikufungwa na watu na akili zao?Nilijua utafika humu kutetea huu utoto. Yaani watu na akili zao wanasimama chini ya danger/hatari. Kuzindua transfoma? Makubwa haya. Kesho watapanda kwenye nyaya. [emoji38] Bado utasema tu hapo sawa.
Kwahivyo wanazindua nyaya tu na nguzo? [emoji15][emoji15][emoji15]He! PolePole
Unauhakika umeme ulikuwa tayari kwenye hiyo kitu
Saivi ni REA phase ii inawezekana Hicho kituo unachotaka kukiona kilizinduliwa wakati wa phase i, saivi ni expansion kwenda kwenye vijiji vya jirani.aya bwana ila sidhani kama hapo ndo kituo kikubwa cha kupooza au kuchochea umeme ila yote tisa wananchi wapate umeme 24/7
Wakenya akili zenu zote zipo kwetu watanzania,Nyang au wakubwa...Picha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale wanaotembea na makasi kama makarani na kalamu. [emoji23]![]()
Nyang'au tunashangazwa tu na usanii wenu. Heshima kwenu!Wakenya akili zenu zote zipo kwetu watanzania,Nyang au wakubwa...
Kila la kheri,,,Nyang'a tunashangazwa tu na usanii wenu. Heshima kwenu!