Uzinduzi wa mwendokasi Tanzania

Uzinduzi wa mwendokasi Tanzania

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
fb_img_152492034483-jpg.758988
Picha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale ambao wanatembea na mkasi kama makarani na kalamu. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
fb_img_152492034483-jpg.758988
Picha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale wanaotembea na makasi kama makarani na kalamu. [emoji23]
Huo ni uzinduzi wa mpango wa umeme vijijini
 
fb_img_152492034483-jpg.758988
Picha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale wanaotembea na makasi kama makarani na kalamu. [emoji23]
Umekurupuka kijana
kama hujui uliza
huo ni REA
UMEME VIJIJINI
 
mkuu ata hivyo kulikuwa nakuna kituo cha kuchochea au kupooza umeme mpk waje zindua nguzo mkuu

Hayo ni maeneo ambao umeme haujawi kufika tokea Uhuru na kuhusu kituo cha kuchochea au kupooza umeme, transformer ndio kazi yake hiyo na hapo naona unaona hiyo ni transformer
images
 
Huo ni uzinduzi wa umeme vijijini REA mpaka 2020 vijijini kote Tanzania kutakua na umeme
Nilijua utafika humu kutetea huu utoto. Yaani watu na akili zao wanasimama chini ya danger/hatari. Kuzindua transfoma? Makubwa haya. Kesho watapanda kwenye nyaya. [emoji38] Bado utasema tu hapo sawa.
 
Hayo ni maeneo ambao umeme haujawi kufika tokea Uhuru na kuhusu kituo cha kuchochea au kupooza umeme, transformer ndio kazi yake hiyo na hapo naona unaona hiyo ni transformer
images
aya bwana ila sidhani kama hapo ndo kituo kikubwa cha kupooza au kuchochea umeme ila yote tisa wananchi wapate umeme 24/7
 
Nilijua utafika humu kutetea huu utoto. Yaani watu na akili zao wanasimama chini ya danger/hatari. Kuzindua transfoma? Makubwa haya. Kesho watapanda kwenye nyaya. [emoji38] Bado utasema tu hapo sawa.
Unachekesha kwani hiyo transformer haikufungwa na watu na akili zao?

Imeakuaje wakati wa kuwekwa hiyo miundombinu iwe something sensitive kwenye kuzindua the same thing iwe nonsense?
 
aya bwana ila sidhani kama hapo ndo kituo kikubwa cha kupooza au kuchochea umeme ila yote tisa wananchi wapate umeme 24/7
Saivi ni REA phase ii inawezekana Hicho kituo unachotaka kukiona kilizinduliwa wakati wa phase i, saivi ni expansion kwenda kwenye vijiji vya jirani.
 
fb_img_152492034483-jpg.758988
Picha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale wanaotembea na makasi kama makarani na kalamu. [emoji23]
Wakenya akili zenu zote zipo kwetu watanzania,Nyang au wakubwa...
 
Back
Top Bottom