pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #21
Punguza presha yaani unatokwa na mishipa shingoni ukitetea huu usanii?Unachekesha kwani hiyo transformer haikufungwa na watu na akili zao?
Imeakuaje wakati wa kuwekwa hiyo miundombinu iwe something sensitive kwenye kuzindua the same thing iwe nonsense?
Dhana hapo sio kuzindua nguzo mkuu, ebu jiongeze!mkuu ata hivyo kulikuwa nakuna kituo cha kuchochea au kupooza umeme mpk waje zindua nguzo mkuu
Na kwa taarifa yako ni 1,200 tu ya Kenya unatakiwa kuchangia umeme kuletwa mpaka chumbani kwako yaani hiyo pesa ukitoa ndio mambo yote yameishaNilijua utafika humu kutetea huu utoto. Yaani watu na akili zao wanasimama chini ya danger/hatari. Kuzindua transfoma? Makubwa haya. Kesho watapanda kwenye nyaya. [emoji38] Bado utasema tu hapo sawa.
Hahaha. Shida tupu. πIkiwa walizindua lift (elevator) sembuse "Hi-tech" transformer? Juzi wamezindua ukuta vichakani Mirerani pia. Nadhani electric SGR uzinduzi wake utakua Sikukuu nchi nzima! ππ
Waeleze hawa wenzako wanaotetea huu usanii wa bongo movie.mkuu ata hivyo kulikuwa nakuna kituo cha kuchochea au kupooza umeme mpk waje zindua nguzo mkuu
Hi mulisaaa atakuja akuambie ndio the most modern in east and Central africa,mibongo vitukoπππππππππPicha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale wanaotembea na makasi kama makarani na kalamu. [emoji23]
Eti nini ni ndoto Kenya? Kwenye usambazaji wa umeme mna cha kujifunza kutoka Kenya. Takwimu za Dec 2017 ndio msema kweli. Kenya tupo kwa 67% wakati Tz bado hamjafika 35%.Na kwa taarifa yako ni 1,200 tu ya Kenya unatakiwa kuchangia umeme kuletwa mpaka chumbani kwako yaani hiyo pesa ukitoa ndio mambo yote yameisha
Na jua huko Kenya hiyo ni ndoto ya mchana na hiyo ndio sababu JPM anakubalika na wenye akili timamu tu.
Eti hiyo Afrika nzima isipokuwa misri na sauz ipo Tz pekee yake! [emoji23][emoji23][emoji23] Nilidhani usanii unakuaga tu kwenye bongo fleva.Hi mulisaaa atakuja akuambie ndio the most modern in east and Central africa,mibongo vitukoπππππππππ
Can u define a transformer msee? U seem so ignorant.mkuu ata hivyo kulikuwa nakuna kituo cha kuchochea au kupooza umeme mpk waje zindua nguzo mkuu
Hizi ndio nyumba Watanzania wanazoishi? Kweli uvivu mbaya.Hayo ni maeneo ambao umeme haujawi kufika tokea Uhuru na kuhusu kituo cha kuchochea au kupooza umeme, transformer ndio kazi yake hiyo na hapo naona unaona hiyo ni transformer
Hehehehe, endelea kufahamu hivyo, sisi huku 2020 vijiji vyote Tz vitakuwa na umeme.Eti nini ni ndoto Kenya? Kwenye usambazaji wa umeme mna cha kujifunza kutoka Kenya. Takwimu za Dec 2017 ndio msema kweli. Kenya tupo kwa 67% wakati Tz bado hamjafika 35%.
REA mbona imeanza kitambo?Huo ni uzinduzi wa umeme vijijini REA mpaka 2020 vijijini kote Tanzania kutakua na umeme
Vita, tuta wimbo mi uleule wa watu wavivuπππππHehehehe, endelea kufahamu hivyo, sisi huku 2020 vijiji vyote Tz vitakuwa na umeme.
. You must remember that Tanzania is bigger country some time you can refers as a little continent unlike Kenya which is a tiny country with the same size as monduli district in nothern TanzaniaHehehehe, endelea kufahamu hivyo, sisi huku 2020 vijiji vyote Tz vitakuwa na umeme.
Hiyo ni picture fikirishi kwamba nchini Tanzania mpaka mtu fukara wa mwisho huko vijijini ndani interior ameunganishwa na umeme.Hizi ndio nyumba Watanzania wanazoishi? Kweli uvivu mbaya.
Kuna watu wajinga na wapumbavu kwa mwendokasi. Hivi jf hamjui kuwa sio facebook wala instagram unapost tu kila ujinga unaoupata kwa wajinga wenzako. Hebu kama umri wako ninunader 20 nenda kapost huu ujinga fb. Utakutana na school boys huko muongee lugha zinazofananaPicha kuntu kuhusu uzinduzi wa nguzo mbili na transfoma yake hapa hapa kwa jirani Bongo. Aisee waafrika tunalo. Nasikia siku hizi kuna wale ambao wanatembea na makasi kama makarani na kalamu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Jini kisirani, [emoji38][emoji38][emoji38] kisirani chako wapelekee walosimama chini ya transfoma.Kuna watu wajinga na wapumbavu kwa mwendokasi. Hivi jf hamjui kuwa sio facebook wala instagram unapost tu kila ujinga unaoupata kwa wajinga wenzako. Hebu kama umri wako ninunader 20 nenda kapost huu ujinga fb. Utakutana na school boys huko muongee lugha zinazofanana