Doctor Mama Amon
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 2,089
- 2,725
Kazi ipoJob Ndugai atangaza kuandaa Sheria ya Kuacha Kujenga Nyumba MAANA zilizopo zinatosha ikiwa ni pamoja na kujua mapungufu ya nyumba zilizopo labda jamii itajifunza Maisha ya kuishi na Watu pamoja na kujua chimbuko la chuki ambazo zinaburudisha jamii yetu kila siku...
Unataka ule ujinga wa "kazi iendeleeee". Kazi gani?Kuna matangazo mbashara kupitia TBC1.
Ni uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji na usafi wa mazingira kwa mwaka 2019/2020.
Ni tukio zuri. Watendaji wote wa RUWASA kutoka nchi nzima wapo hapa
Nafuatilia.
Tatizo: wengi wanaosimama salamu ni Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Asalam Aleikum.
Hapana, hizi sio salam za kiserikali.
Tenganisheni salamu za kidini na kazi za serikali.
Serikali inayo misamiati yake.
Dhambi, maombi, maombezi, na maneno kama hayo hapana.
Hatujawahi kuwa na spika mjinga na mpumbavu Kama NdhughaiKuna matangazo mbashara kupitia TBC1.
Ni uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka za maji na usafi wa mazingira kwa mwaka 2019/2020.
Ni tukio zuri. Watendaji wote wa RUWASA kutoka nchi nzima wapo hapa
Nafuatilia.
Tatizo: wengi wanaosimama salamu ni Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo, Asalam Aleikum.
Hapana, hizi sio salam za kiserikali.
Tenganisheni salamu za kidini na kazi za serikali.
Serikali inayo misamiati yake.
Dhambi, maombi, maombezi, na maneno kama hayo hapana.
PoaWalau uwekezaji mzuri
Hoja yako hapa ni nini? Hizo salam au uzinduzi wa ripoti ya utendaji wa mamlaka ya maji? Kama hoja ni salam mi sioni tatizo kwan pamoja na kuwa serikali haina dini lkn watumishi wa serikali na wananchi wa kawaida wengi wana dini. Kwahiyo ikitolewa salam aleikum hiyo inakuwa kwa niaba ya waislam wataitika, ikitolewa bwana Yesu asifiwe au tumsifu Yesu kristo pia wakristo wataitika, na mwisho ni salam ya wale wasiokuwa na dini na hata wenye dini pia ambayo inatamkwa nawasalim kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Tanzania kama Taifa kuna mambo mengi ya msingi ya kulalamikia kama vile kuiomba serikalj iboreshe mfumo wetu wa elimu, kuiomba serikali isambaze maji safi nchi nzima bila kusahau na umeme, watumishi au wafanyakazi kazi kuongezwa mishahara, kuongeza ajira serikalini na kuangalia njia nzuri ya kupunguza umasikini nk. Sio kutumia muda mwingi mtandaoni kulalamikia salam ambayo haiwezi kukuongezea wala kukupunguzia chochote.